Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

Makonda awaonya Wastaafu wanaowashwa washwa! Awaelekeza kulea Wajukuu zao...

Uongozi wa Magufuli ni ngoma iliyovuma sana na ilipasuka na katika mpasuko wa ngoma huyu bwana ni chupuchupu.

Kwani hamna funzo alilopata atubu na aishi vizuri na watu.

hichi anachofanya ni kurudi kule kule na hawezi kupata uimara ule tena kwa sababu mkuu wake wa zamani alikuwa strong kwenye misimamo kuliko huyu wa sasa.

Asijiamini sana hayuko salama sana kiasi kile tena

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
huyu kwa ccm ya sasa ni mwepesi kama ufuta shambani...watamzimisha akakutane na Jpm kuzimu
 
Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa.
]
Watu kama Samia wasio na maono ndiyo huzoa wateule kama hawa ambao hata akili ndogo ya kujua haki ya mtu kikatiba hana. Kwa hiyo Nyerere na Mkapa ni wajinga waliostaafu wakaandika vitabu tena wakikosoa?


Tabia tabia tabia, haibadiliki, hemu angalieni hili jamaa linarudi upuuzi ule ule.

Sasa nyie mnaooa, kaeni mkiamini mkishaoa atabadilika, hawabadilikagi hata siku moja.
 
“Sikuweza kusema kipindi cha miaka yote ile kwasababu sikuwa na nafasi yoyote na Mimi utaratibu wangu ukipewa nafasi unapewa kazi uliyopewa ukimaliza unapumzika, huwezi kupewa kazi umemaliza umepumzika wewe ni Mstaafu lakini kila siku upo kwenye microphone, huo sio utaratibu”
Bado yuko na mzee Warioba tu?
 
Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu a Makonda ameteuliwa wamepiga kelele nyingi kwasababu wanajua nawajua na hofu yao ni kuwajua, walitamani waendelee kukaa kwenye maficho wasijulikane lakini Mungu ni mwema ninawafahamu”

My Take
Watu kama Samia wasio na maono ndiyo huzoa wateule kama hawa ambao hata akili ndogo ya kujua haki ya mtu kikatiba hana. Kwa hiyo Nyerere na Mkapa ni wajinga waliostaafu wakaandika vitabu tena wakikosoa?
Makonda yuko sawa akina Kikwete amekaa sana serikalini akiwa Waziri mpaka hakapewa urais miaka 10 ,ikaisha lakini bado hataki kustafu amekuwa remote control kwa Samia,naona Samia kamchoka ndio maana kamtumia Makonda hamsemee,hukiisha staff kaa nyumbani, mbona Mwinyi yupo kwake;na maisha yanasonga? Kikwete alisahau nini ikuru?
 
Ndugu Mh Mwenezi uliyetoa miezi 6 kwa waziri mkuu kumaliza migogoro ya aridhi nakuuuliza mzee wetu Sinde Waliomba uliyewai mtia Makonde alikukosea nini mpaka sasa

Utaki ajitokeze adharani kuendelea kutoa maoni yake?

Hivi kiumri mbona hamwendani hata vyeo alivyowai vishika wewe uwezi vishika hata uingie kaburini

Je wewe ni wa kumtaka Sinde alelee watoto?yeye anavitukuu sio wajukuu.

Mwisho nikunyegeza Mwanza.
 
IMG_20211218_014906.jpg
 
wastaafu walee wajukuu ikibidi waandike vitabu maoni yao tutayasoma huko na kuyafanyia kazi. Big up Mwenezi
 
Back
Top Bottom