Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi mkuu tunge para mtu kama makondo tungekuwa mbali sanaserikali haijashindwa kusomesha wanafunzi ina uwezo wa kuwalipia wanafunzi wote nchini..sema tu serikali haitaki lakini pesa ipo sana nchi hii..kwani zaidi ya 60% pesa zinaishia kwa wanasiasa na viongozi kwa kulipana imagine mbunge mmoja anavuta hadi milion 20 kwa mwezi tu wakati ada chuo kikuu fani nyingi ada haizidi milion 3 kwa mwaka sasa kwa milion 20 ya kiongozi mmoja kwa mwezi inasomesha wanafunzi 7 chuo kikuu bila stress kwa mwaka..tukipunguza mishahara na marupurupu ya wanasiasa na viongozi wote nchini japo kwa 40% tutafika mbali sana kama nchi na hakutokuwa na uoga wa kuajiri yaani graduate akitoka chuo moja kwa moja kazini kama enzi za JK ajira kibao ila watu wa kuajiriwa hamna.!
Naona makonda umekuja kivingine na I'd tofauti kujipigia promo !!!Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda,
Sijasema wewe siyo mbunifu,Acha uwivu mkuu, kwan makonda sio mbunifu ? Waziri gani unaweza kumfananisha na makonda?
Kama ni kweli ni jambo jema.Lakini hao vijana wameenda India kimya kimya kweli?Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.su
Ngoja tuone mkuu,Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.
Acheni sanaa. Siyo kila mtu ni mjinga kama ninyi.Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Huyo Mtaka hamfikii Makonda kwa lolote! Kwanza hafikiki kwa urahisi ni mtu wa kujikweza sema wewe humfahamu vizuri!Mkuu wa mkoa bora ni Antony Mtaka that man is innovative,passionate,visionary hawa wanaokaa mjini na kuomba hela kwa matajiri na kuwapa watu pipi hakuna maana
Mtaka hajawahi kuwa Mkuu wa mkoa wowote mkubwa!Ni vile mwingine kelele za media ni nyingi lakini Mtaka is the best
Acha uwivu mkuu, kwan makonda sio mbunifu ? Waziri gani unaweza kumfananisha na makonda?
Makondo huyu huyu aliwaambia walimu akiwaona na mabango ya kudai nyongeza ya mshahara wakati wa sherehee za Mei Mosi angewachapa viboko vibaya sana. Leo ndiyo mnamwona ni kiongozi bora.Makonda kwa kweli yupo vizuri mkuu, ni zaidi ya waziri mkuu
Kuchoma na kula nyama?Mbali na hilo ,jamaa, anajitahidi sana kubuni vitu vya kipekee
Wewe una wivu na Makonda! Kwanza Makonda anaonesha utofauti kwenye uongozi!Makondo huyu huyu aliwaambia walimu akiwaona na mabango ya kudai nyongeza ya mshahara wakati wa sherehee za Mei Mosi angewachapa viboko vibaya sana. Leo ndiyo mnamwona ni kiongozi bora.
Hivi huwa unafanya ata uchunguzi wa nyuma ya pazia? Umeshajiuliza anafanya biashara gani? Analipa kodi kiasi gani?
Nakushauri ukae kimya ufanye biashara zako tu.
Makonda anafanya biashara na kwa alivyo mbunifu unategemea asiwe na biashara na utajiri wa kutosha?Makondo huyu huyu aliwaambia walimu akiwaona na mabango ya kudai nyongeza ya mshahara wakati wa sherehee za Mei Mosi angewachapa viboko vibaya sana. Leo ndiyo mnamwona ni kiongozi bora.
Hivi huwa unafanya ata uchunguzi wa nyuma ya pazia? Umeshajiuliza anafanya biashara gani? Analipa kodi kiasi gani?
Nakushauri ukae kimya ufanye biashara zako tu.
amekutumaee? unafahamu maana ya tunu?. DAB ni tapeli, apuuzwe!Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.