Pre GE2025 Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upo sahihi mkuu, tunge
serikali haijashindwa kusomesha wanafunzi ina uwezo wa kuwalipia wanafunzi wote nchini..sema tu serikali haitaki lakini pesa ipo sana nchi hii..kwani zaidi ya 60% pesa zinaishia kwa wanasiasa na viongozi kwa kulipana imagine mbunge mmoja anavuta hadi milion 20 kwa mwezi tu wakati ada chuo kikuu fani nyingi ada haizidi milion 3 kwa mwaka sasa kwa milion 20 ya kiongozi mmoja kwa mwezi inasomesha wanafunzi 7 chuo kikuu bila stress kwa mwaka..tukipunguza mishahara na marupurupu ya wanasiasa na viongozi wote nchini japo kwa 40% tutafika mbali sana kama nchi na hakutokuwa na uoga wa kuajiri yaani graduate akitoka chuo moja kwa moja kazini kama enzi za JK ajira kibao ila watu wa kuajiriwa hamna.!
Upo sahihi mkuu tunge para mtu kama makondo tungekuwa mbali sana
 
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.

Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.

Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Kama ni kweli ni jambo jema.Lakini hao vijana wameenda India kimya kimya kweli?
Ninavyomjua Msukuma mwenzangu lazima hilo jambo angetangaza sana wakati wa hao vijana kuondoka.
 
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.

Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.

Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv

Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.
 
Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.su

Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.
Ngoja tuone mkuu,
 
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.

Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.

Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Acheni sanaa. Siyo kila mtu ni mjinga kama ninyi.
 
Aweke majina ya hao vijana kisha tuangalie admissions zao huko india ndiyo tutatoa pongezi otherwise KIKI kama za Sheikh Rashid za kuwapeleka vijana wa kawe BAMIN GAMU.
Atafanya hivyo tuu, ngoja tusubili tuone
 
Mkuu wa mkoa bora ni Antony Mtaka that man is innovative,passionate,visionary hawa wanaokaa mjini na kuomba hela kwa matajiri na kuwapa watu pipi hakuna maana
Huyo Mtaka hamfikii Makonda kwa lolote! Kwanza hafikiki kwa urahisi ni mtu wa kujikweza sema wewe humfahamu vizuri!
 
Ni vile mwingine kelele za media ni nyingi lakini Mtaka is the best
Mtaka hajawahi kuwa Mkuu wa mkoa wowote mkubwa!
Mtu akiwa Mkuu wa mkoa kama Dar es Salaam,Mwanza au Arusha kidogo unajua kabisa ni potential,Alikuwa Dodoma wakamchomoa na kumpeleka Njombe mkoa wa hadhi ya chini!
 
Makonda kwa kweli yupo vizuri mkuu, ni zaidi ya waziri mkuu
Makondo huyu huyu aliwaambia walimu akiwaona na mabango ya kudai nyongeza ya mshahara wakati wa sherehee za Mei Mosi angewachapa viboko vibaya sana. Leo ndiyo mnamwona ni kiongozi bora.

Hivi huwa unafanya ata uchunguzi wa nyuma ya pazia? Umeshajiuliza anafanya biashara gani? Analipa kodi kiasi gani?

Nakushauri ukae kimya ufanye biashara zako tu.
 
Wewe una wivu na Makonda! Kwanza Makonda anaonesha utofauti kwenye uongozi!
Anajua kutafuta fursa na kuwaza nje ya Box!
Sema wabongo wengi mnahusuda na wivu ndo tatizo!
Makonda ni mtu anayechukia Umaskjni kwa vitendo na ukitaka kujua hilo waulize anaofanya nao kazi!
Makonda anawapa fursa vijana na kuwavuta kwenye njia ya mafanikio vijana walio wengi!
Makonda huwezi kumlinganisha na Chalamila hata wewe unajua hilo!
Hakuna kiongozi yeyote wa Mkoa ua Waziri anamzidi Makonda ubunifu,Creativity na uthubutu kwa sasa kama yupo Mtaje?
 
Makondo huyu huyu aliwaambia walimu akiwaona na mabango ya kudai nyongeza ya mshahara wakati wa sherehee za Mei Mosi angewachapa viboko vibaya sana. Leo ndiyo mnamwona ni kiongozi bora.

Hivi huwa unafanya ata uchunguzi wa nyuma ya pazia? Umeshajiuliza anafanya biashara gani? Analipa kodi kiasi gani?

Nakushauri ukae kimya ufanye biashara zako tu.
Makonda anafanya biashara na kwa alivyo mbunifu unategemea asiwe na biashara na utajiri wa kutosha?
Makonda kwa alivyo na uthubutu usitegemee atakuwa maskini hata alipokuwa hana cheo bado alifanya biashara zake kubwa na za kumwingizia hela nyingi!
Kama anafanunya biashara haramu serkali ipo na inaweza kumfatilia!
 
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.

Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.

Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.

Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
amekutumaee? unafahamu maana ya tunu?. DAB ni tapeli, apuuzwe!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Back
Top Bottom