Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

Hao ambao makonda kawataja wenyewe wamejitangaza kwenye Instagram kwamba wana Corona Wala hawakulazimishwa na mamlaka.
 
Leo hajasema “Darethalamu Idhi Thefu “


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hii Kauli inataswira ya kujimwambafy kama tunadawa yetu mfukon kumbe mbagala nyumba zinaelea kwa mafuriko
 
FA na huyo Salam sijui hawana corona
Wanatumika kisiasa paka shume hawa
 
Uzuri ni kwamba watu weusi tuna miili migumu sana. Zile malaria kali za utotoni mpaka unatetemeka zilikuwa zinamalizwa na sindano tatu tu za pale ocean road.

Watanzania tunapitia aina fulani ya maisha ambayo ni corona tosha kabisa.
 
Anaposema mwanaFA na Sallam atueleze vyema yy anadhani sie watu milion6 tunawajuana.
 
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Hii ni habari mbaya sana. Incubation period ya Corona ni takribani siku 5-7. Kumbuka watu hao walichangamana na wananchi kabla ya kuwa ''isolated''. Hiyo namba itabadilikana na kuwa ''exponential'' na hapo ndipo tutashahudia maafa.

Hakuna mahali Corona ilianza na watu 10. Kila mahali ni 1 halafu inapanda kwa kasi kutokana na maambukizi.

Nitakupa mfano, hao watatu kama wameambukiza kila mmoja watu 2 idadi itakuwa 9. Hao 9 wakiambukiza watu 3, ni 27 n.k.

Tusijifariji tatizo bado kabisa, ndio kwanza mbegu ''zimepandwa''. Baada ya wiki moja kutoka siku ya bandiko hili kama idadi haitaongezeka nitarudi kuomba radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…