Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

Mkuu Nguruvi3, lets wait and see, wakiambukizwa nitaomba radhi, wasipoambukizwa, nitasubiria radhi yako.
P
 
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Wakati waafrica wengi wakitamani wawe wazungu, ni muda wa wawazungu nao kutamani kuwa waafrica, Corona inagonga kwamba kwenye ngozi ya mwafrica
 
Unazungumzia janga gani kaka!! Yani Rais wetu apaniki kwa mafua!!
Be serious basi, itaondoka kama ilivokuja acheni kutisha watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anatuona sana Dar , maana kila asubuhi anaachia jua Kali sana kukomesha hawa wadudu waharibifu. Machinga wote wapo salama mpaka sasa. Mungu anajua waja wake. Dar bila corona inawezekana kwa nguvu za Mungu tu
 
Ameeeen
 
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Nigeria teyari maambukizp ya ndani ya nchi yameanza kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…