Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

Tumuheshimu Mungu wetu..Makonda asirudie tena kumtamka Mungu maana kinywa chake na matendo yake ni kinyume na mapenzi ya Mungu
 
Tumtangulize mungu je akiambukizwa nani atatulinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ndio boss wa mkoa usisahau hilo!
Hapana yeye aongee mengine ya usafi na miundo mbinu. Hili la Afya awaachie Wizara ndiyo kuna wataalamu. Kama yeye anaongelea wagonjwa 3 ujue itakuwa ni duplication na Wizara ikiongea.

Nilipowaona jana FA na Salaam SK nikajua tayari Zero Brain Bashite yuko nyuma ya huu ujinga.

Kwa kisomo cha Mwana FA kukubali kucheza Script ya Bashite ameshalilisha elimu yake kwa vipande vya fedha.
 

Wachina wanapambana tokea katika hali halisi.

Bila kujitoa kupambana cha kumtanguliza Mungu - hakipo. Huo ndiyo ukweli mchungu.

Ilijulikana nini cha kufanya ugonjwa usije - hatukufanya. Sasa hivi tunajua namna ya kuudhibiti bado hatufanyi.

Tutegemee nini kwenye hali kama hii?
 
Nadhani wajibu wa viongozi wa serikali sio kuwaambia wananchi wake wamuombe Mungu, hizo ni kazi za kiroho zinapaswa kufanywa na waumini wenyewe na viongozi wao wa dini, serikali iendelee na mambo ya kiuhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa la wajinga na mang'ombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda is not one of my favourite leaders lakini mkuu unakurupuka sana kwenye hoja zako.
Hujajiuliza kwanini hajataja jina la mmarekani anaye umwa COVID-19 hapa Dar?

Hao watu wawili aliowataja kwa majina sio kwamba yeye ndio ameweka hadharani majina yao, wenyewe wamejitangaza kuugua ugonjwa husika.

Hoja zako nzuri zilizofuata kuhusu BOT na serikali kiujumla kueleza mkakati wa kupunguza ukali wa maisha na tetereko la kiuchumi la watanzani zimekosa kufuatiliwa vizuri sababu ya kutanguliza hoja au lawama za ajabu kabisa ambazo hazikumstahili RC Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…