Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

Its just a psychological dooming, wakishaingia madarakani watamridishia mkoa wake, wamefanya hivyo kutengeneza kampeni tu tuamini kuwa wamechoshwa na shobo zake
 
Mbona inaonekana aliruhusiwa...kideo kinaonesha ni Kama anataarifu kuwa kafika..
Na mimi naona ilikua hivyo. Video imekatwa pale alipokua ameruhusiwa kuingia. Sikua nakubaliana na matendo ya huyu jamaa lakini clip hii ni kama imekatwa hapo ilipokatwa kwa makusudio maalum ambayo nahisi yamefanikiwa
 
Kukatwa sio Shida...hata kama aliruhusiwaa lakini baada ya Mabishanoo sana na wale walinzi kitu ambacho hatulutarajia kwa mtu kama makondaaa kutokea..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…