King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Labda kuhusu Roma tuu, lakini kwa issue ya Ben, mhusika waliisha malizana na Ben mwenyewe na kitu kizuri cha ajabu na huwezi kuamini, Ben amemsamehe!.
P
We Paul 😆😆Labda kuhusu Roma tuu, lakini kwa issue ya Ben, mhusika waliisha malizana na Ben mwenyewe na kitu kizuri cha ajabu na huwezi kuamini, Ben amemsamehe!.
P
Hakuna uwezekano wa matapeli kutapeli kwa jina la ikulu, au kiongozi yoyote iwapo tabia hiyo ya kutaka pesa haijawahi kufanywa na ikulu au kiongozi.Kuna wengine wanatapeli kwa jina la Ikulu. Matapeli wapo wengi kutokana na system kutokuwa makini.
Alimchukulia hatua gani huyo dereva?
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.
My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Mi ni Pasco, Paul ni kaka yanguWe Paul 😆😆
Alichokisema Makonda ni kweli, watu wengi sana wametapeliwa na bado wanaendelea kutapeliwa kwa huo mtindo. Mungu akufunulie uelewe. Wafanya biashara wanataabika sana. Yaani kumuona kiongozi wanatozwa hela nyingi mno na wafanya wasaidizi wa viongozi na usishangae kukuta kiongozi hata kama alikuwa rafiki yako akaacha kupokea simu vile vijamaa vinamtia sumu maana vyenyewe ndiyo gate valve ya kupokea hela za rushwa kumuona kiongozi. Yaani huo mchongo ni deep state kwa ufupi. Ila ukienda Zanzibar huo ujinga hawana. You can just walk ukaonana na waziri katibu mkuu ila njoo huku bara, yaani kumuona katibu mkuu, waziri au mkuu wa shirika wasaidizi wao ambao ni vetted watakutoza hela tena kama shida yako ni kubwa na hela ni kubwa na mbaya kiongozi anakuwa hajui.
Sifa ya muda ni kuupa mudaMudaa ni rafiki mzuri sanaa......acha myda utaongeaaa
Hujawahi kuwa Kiongozi wewe, wacha uwongo.Alichokisema Makonda ni kweli, watu wengi sana wametapeliwa na bado wanaendelea kutapeliwa kwa huo mtindo. Mungu akufunulie uelewe. Wafanya biashara wanataabika sana. Yaani kumuona kiongozi wanatozwa hela nyingi mno na wafanya wasaidizi wa viongozi na usishangae kukuta kiongozi hata kama alikuwa rafiki yako akaacha kupokea simu vile vijamaa vinamtia sumu maana vyenyewe ndiyo gate valve ya kupokea hela za rushwa kumuona kiongozi. Yaani huo mchongo ni deep state kwa ufupi. Ila ukienda Zanzibar huo ujinga hawana. You can just walk ukaonana na waziri katibu mkuu ila njoo huku bara, yaani kumuona katibu mkuu, waziri au mkuu wa shirika wasaidizi wao ambao ni vetted watakutoza hela tena kama shida yako ni kubwa na hela ni kubwa na mbaya kiongozi anakuwa hajui.
Sijawahi ndiyo ila najua ndiyo utaratibu ulivyo.Hujawahi kuwa Kiongozi wewe, wacha uwongo.
Kama kuna Kiongozi wa umma, watu wanapitia wasaidizi wake kujitengenezea pesa, na yeye HAJUI, basi HAFAI KUWA KIONGOZI.
There is no any excuse on this aspect
Absolutely correct. Bashite ni pimbi kabisa. Wanaposema ni ZEROBRAIN kweli ni zero. Kanyimwa akilikapewaAnaweza akaongea ukweli, ila hapo muongo ni yeye kutaka kujitenga na hayo matukio. Ukiona dereva alithubutu kufanya hivyo, basi jua hiyo ndiyo ilikuwa michezo ya boss wake, so ilikuwa ni michezo yao kila mmoja ale kwa urefu wa kamba yake.
Umeandika tafsida (satire) lakini kichwa cha Bashite hakina uwezo wa kutengeneza fasihi ya namna hiyo. Yeye alipewa mshipa wa kuvuruga na kuua tuTumemsikia yule aliyekuwa Konda kwenye ile Kampuni ya mabasi awaku ile akimrushia lawama aliyekuwa Dereva.
Je, ametumia fasihi katika kumrushia lawama aliyekuwa dereva wake kwamba maovu yale yalifanywa na yule dereva ila lawama ma chuki akarushiwa yeye?
Je, Inawezekana huu ni mwendelezo ambao kila anayepewa nafasi ya kuhudumu kwenye kampuni hii ya sasa ya mabasi chini ya Dereva wake Mpya, amekuwa akijaribu kujitakasa kwa kumtumia lawama yule aliyekuwa Dereva wa mabasi ya kipindi kile.
Safari hii tumemsikia aliyekuwa Kindakta kipindi kile akisimama hadharani na kuamua kumtupia lawama aliyekuwa Dereva wake, ingawa lawama hizo amejaribu kutumia fasihi na tafsida kiasi kwamba wengi wanadhani anayelaumiwa ni Dereva kwa maana ya Dereva, ila kiuhalisia nianayerushiwa lawama na huyu Kondakta ni Dereva.
Masikini Dereva yule, mwisho wa siku hata waliomuwezesha kuipata ile ajira na wenyewe watamiana.
Mpaka Dereva anachukua gari na kuondoka ww hujui kweli?au ulikua unamruhusu?
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.
My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Kwa hiyo hapo ndio kajisafisha kamaliza?Sawa kabisa, niliposikia Makonda kaandaa hiyo hafla nikajua anatafuta platform ya kujisafisha. Na hii hotuba ni ushahidi halisi wa lengo lake.
Hawezi kutakata.Kwa hiyo hapo ndio kajisafisha kamaliza?
DuuhAache ujinga bashite, ni yeye aliyekuwa ana harass watu kwa kuomba fedha kwa madai kuwa JPM kamtuma.
Si yeye huyu alimwomba hela Mengi ali aandae futari sijui nini?