Makonda fuatilia dhuluma mradi wa fidia Jangwani watu wanalipwa 170,000 badala ya milioni 4 aliyosema Waziri

Na serikali wakishawalipa hela huko
Wazibomoe nyumba zote huko

Ova
 
Milioni 4 ni kifuta jasho tu au maana ni ndogo sana
 
Mjinga mkubwa kwani Makonda ni nani katika serikali? Kusoma huwezi hata kusikia ni shida, hivi hujaona hiyo ni stakabadhi ya mpangaji?
 
Makonda Aka DBashite hana uwezo huo Serikali Waziri na naibu Ardhi wapo Mkuu wa mkoa yupo Halmashauri wapo tufanyeni kazi kwa weledi.
 
Hakuna mjinga anaeweza kukubali 170,000.

Pili Waziri yupo social media Kwa nini usifikishe malalamiko Yako?

Mwisho Hakuna mtumishi atafanya hivyo Ili awe kafara wa uchaguzi
 
Duh

4,000,000-170,000=3,830,000

Nchi ngumu sana hii
Na wewe unaamini? Hapo unaweza Kuta ni Afisa anaesimamia Hilo zoezi na sio mmiliki wa eneo.

Serikali sio wajinga wa hivyo na nimeona watu wakihojiwa wakisema wamepewa mil.4-6
 
Bongo nyoso! Mama alisema watu wale kwa urefu wa kamba, kule mtwara maofisa wa polisi waliua mfsnyabiahara, wakampa kesi ya wizi, ili wamdhurumu milioni 33!
Kule Dar, Jwtz waliamua kujifanya low enforcement wakaingia mitaani "kusaka mavazi yao" Wakajichukulia mabegi nk, sasa Leo hili
 
Nimegundua kuwa wewe uko makini sana, hakika siku hizi ninakupenda, nataka umpokee Yesu Kristo
Hilo Gagula hatulitaki kundini litakuja na elements za kiislam ambazo ni kinyaa na kuiaibisha imani yetu tukufu, takatifu na ya kweli.

From the river to the sea Palestine will NEVER EVER be free.
 
Badala ya kumuomba Waziri mwenye dhamana Eti Makonda
Makonda huyo huyo atalipeleka kwa Waziri husika

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Huna akili wewe,huyo Makonda atafanya nini?
 

Ingekua ivo hata ccm isingekuepo.
 
Kumbe na wapangaji wanataka walambe 4mil? 🤣 🤣 🤣
Wapangaji hukoi pirika na wenye nyumba, na wao wanataka million4 zigawiwe sawa kwa sqa kati ya waoangaji na wenye nyumba.

Wanawema hizo wamepewa za kuhama na siyo za kujenga kwengine, hazitoshi.

Pia wengine wanasema wapewe wao kwani kuna nyumba hapo wenyewe hawakai hapo na wapangaji ndiyo wanaishi hapo miaka yote.

Kuna bongo movie huko.
 
Duh...🙄🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…