Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh
4,000,000-170,000=3,830,000
Nchi ngumu sana hii
Wewe ndiwe umeleta umbea umbea!Toz unafiki wako hapa
Mjinga mkubwa kwani Makonda ni nani katika serikali? Kusoma huwezi hata kusikia ni shida, hivi hujaona hiyo ni stakabadhi ya mpangaji?Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Makonda Aka DBashite hana uwezo huo Serikali Waziri na naibu Ardhi wapo Mkuu wa mkoa yupo Halmashauri wapo tufanyeni kazi kwa weledi.Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Hutaki Makonda aende[emoji16]Wanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Hakuna mjinga anaeweza kukubali 170,000.Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Na wewe unaamini? Hapo unaweza Kuta ni Afisa anaesimamia Hilo zoezi na sio mmiliki wa eneo.Duh
4,000,000-170,000=3,830,000
Nchi ngumu sana hii
Kama Mwenezi wa ChamaBashite afatilie yeye kama nani
Hilo Gagula hatulitaki kundini litakuja na elements za kiislam ambazo ni kinyaa na kuiaibisha imani yetu tukufu, takatifu na ya kweli.Nimegundua kuwa wewe uko makini sana, hakika siku hizi ninakupenda, nataka umpokee Yesu Kristo
Badala ya kumuomba Waziri mwenye dhamana Eti MakondaMradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Huna akili wewe,huyo Makonda atafanya nini?Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.
zoezi hili Makonda wananchi wanakuomba ujitokeze kwenda kuwasikiliza wananchi wa jangwani wanaopisha eneo hilo ambalo kuna tetesi kuwa anataka kupewa mwekezaji lakini wananchi wananyanyaswa kwa kudhulumiwa fidia na wajanja wa mjini ndani ya serikali.
View attachment 2817528
Nchi haina Ugumu wowote bali ccm ndio ngumuDuh
4,000,000-170,000=3,830,000
Nchi ngumu sana hii
Makonda afuatilie kama nani?,why ujipe usemaji wa watanzania?,haya ndio mambo ambayo awamu ya kwanza iliharibu, kabla ya kuweka taasisi imara za kusaidia utawala bora, President Nyerere akaamua kujiweka yeye kama ndiye mtatuzi pekee, matokeo yake kila Rais anakuja na mbwembwe zake, uzuzu na ujinga wa watanzania ndio mtaji wao, ilitakiwa anayeona ameonewa aende police akafungue docket au aende kwa PP, makonda sio mtatuzi wa matatizo
Kumbe na wapangaji wanataka walambe 4mil? 🤣 🤣 🤣Wanaolipwa million 4 ni wenye nyumba, siyo wapangaji.
Wapangaji hukoi pirika na wenye nyumba, na wao wanataka million4 zigawiwe sawa kwa sqa kati ya waoangaji na wenye nyumba.Kumbe na wapangaji wanataka walambe 4mil? 🤣 🤣 🤣
Duh...🙄🙄Mradi wa kulipa fidia wananchi wa Jangwani kupisha mwekezaji una mambo ambayo sio ya kawaida, Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ametangaza wananchi hao watalipwa sh. milioni 4 lakini kinachoendelea kwenye utekelezaji watu wamesainishwa fomu za kulipwa laki na 70 bila kujali ukubwa wa familia.