Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Nadhani kinachomponza Makonda ni kutokubadilisha document za umiliki wa eneo hilo wakati ule yuko mamlakani. Inawezekana GSM alimpa ili kumlinda na huo uchafu usemwao. Ila hawakumalizana kwa wakati kwenye hati.
 
Ndio maana mafisadi yaliyobobea utajiri wao wanaishi nao kwa amani kwa kutotafuta ugomvi usio na kichwa wala miguu.

Mtu kama Rostam au Lowassa wangetaka visasi ingekuwaje leo, hao GSM wanatafuta publicity ambayo siyo kabisa.

GSM wametoka kuzika Mzee wao juzi tu, hata kuanua matanga bado washaanza mbwembwe.!
 
Jamani hebu tujaribu kujiuliza swali ivi yule kiongoz wa malaika alietuaminisha yeye ni mzalendo namba moja hakua anajua lolote juu ya huyu mwanae? Kama ndivyo u wap usafi wake ikiwa alifumbia macho anaowapenda? Double standard ya kukemea rushwa ndio alikua anajikosha nayo??
Magufuli alikuwa anamtumia Makonda kufanikisha madili yake ikiwemo kumuunganishia vimada na kuwa-set sehemu za kufanyia ngono.
 
GSM sio mtumishi wa umma, sisi umma tuliokupa ukuu wa wilaya na mkoa ndio tunakuhoji, ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua? Kama wewe kidume wataje hao watu tukumalizie, hapo nyumbani umejaza magari ya kudhulumu na ya wizi, umejengea wazazi wako maghorofa huko mwanza, mkweo Ngara, umeghushi vyeti vya elimu.



Huna pa kutokea na wananchi Wana hamu sana kukuona mahakamani.

Na siku Samia anakupeleka mahakamani ndiyo siku anazoa asilimia 95 ya kura za uraisi, hajajua tu kwamba taifa linaizungukia nyumba yako kama mbwa wenye njaa wanavyomwona sungura ndani ya banda

kamuulize mungu yeye ndie anaegawa kwani umemuona makonda tu mtumishi wa umma mwenye mali mbona uhoji watumishi wengine wana mabilion ya pesa na majumba acha uchadema
 
Miaka miwili nyuma makonda alikuwa na cheo Cha wazir mkuu kwa.kofia.ya ukuu.wa.mkoa had nape.wazir wa habari alifukuzwa Kaz na makonda

Makonda alikuwa mhimili uliojichimbia chini lakn bahat mbaya miziz chin Imeoza na watu wameshajua hayo toka mwez mach 2021 kilichobaki n kudondoka

SOMO LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

fake news wewe chadema
 
DOCUMENTS (IT) LOOKS FAKE...!
sitaki niwe kama Dr. Slaa kusema NAUDHIKA...

Kweli kuna kitu hakiko sawa kama kawaida ya Bashite.
Mfano; forms umeshaiweka Passport pictures. Swali ni je. Kwanini #Muhuri wa #Advocate uwe chini ya picha badala ya Passport za wahusika wote #kupigwa Mihuri juu yake. Inaelekea forms na signatures zilighushiwa na mihuri, Passports za wahusika zikatengenezwa & kubandikwa.
#Jpm alimbeba katika kughushi vyeti fake
#This_time_around_noooo..!
#Time_will_tell
#Njia_ya_Mwingi_fupi
#Michongo_hailipiView attachment 2148487
Na bado bila hata haya anasimama hadharani na kutangaza kuwa anadhulumiwa!!! Tulipata kuandika humu

Post in thread 'Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu' Ujio wa Tundu Lissu na matokeo ya ajabu
 
kamuulize mungu yeye ndie anaegawa kwani umemuona makonda tu mtumishi wa umma mwenye mali mbona uhoji watumishi wengine wana mabilion ya pesa na majumba acha uchadema
Pumbfu
 
GSM wametoka kuzika Mzee wao juzi tu, hata kuanua matanga bado washaanza mbwembwe.!
Wanajisahau ya kuwa na wao kuna watu kwenye system wana hasira nao zingine kabisa nje ya upuuzi wa Makonda; rejea sakata la kumwagiwa tindikali kipindi cha JK raisi.

Ngoja tuone huu mtanange utaishia vipi, wasijekutengenezewa mazingira wakashangaa yetu macho; maana na wao wanamtegemea binadamu kuringa kama ilivyokuwa kwa Makonda.

Busara kwa wafanyabiashara nchi hii ni kutojitengenezea publicity zisizo na kichwa wala miguu.
 
Ni aina Gani ya Defamation Alex Mgongolwa anayozungumzia?
.
Je ni Defamation ya kudumu Kwa Maana ya libel-Defamation in permanent form
.
Au ni Defamation ya muda Kwa Maana ya slander-Defamation in temporary form?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili suala inabidi umtafute Mgongolwa akujibu.
 
Hivi makonda amejiaandaa vizuri na hii vita na anajua anashindana na watu wangapi?
 
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahari😀😀😀!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021
Ingia kwenye siasa. Kibajaji hata primary hajamaliza, lakini ana worth Billion shilings.
 
Niwakumbushe tuu jamani.... RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMA SAMIA SULUHU HASAN Jana aliungana na GSM ya timu yanga kwa ujumla na kupiga simu live kuwashukuru kwa Mambo makubwa wanayofanya kwa jamii kuanzia charity kwa mtoto wetu ALLY KIMARA ....kachangia 15 M kuwasapoti GSM...tafakari
 
Nilitamani sana JK naye apelekwe rumpango na hili likifanyika Tz itakuwa imepona na 2025 ntampa mama mikopo kura yangu
 
Satire ndo nini..?
The use of humour, irony, exaggeration, or ridicule to expose and criticize people's stupidity or vices, particularly in the context of contemporary politics and other topical issues.

Duh!!
 
Back
Top Bottom