Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Mie naona akamatwe afungwe miaka 30 halafu ndio afunguliwe kesi za makosa yake yote.

Hata akipata wakili mzuri na kushinda kesi, basi awe ameshaonja kunyea kwenye ndoo.
Sawa kabisa ila usikute huyu Rais wetu wa sasa (JK) naye anamkingia kifua asikamatwe.
 
Mtekaji kwisha habari yake
 
I bet Makonda atashinda
 
Hao wakina ndama ni matapeli
 
Hata huyu anayedai kuwa kiwanja ni chake kwa majina ya Paul Christian Makonda sio yeye huyo ni Daudi Albert Bashite aliyefanya kosa kubwa la jinai "inpersonalization"
 
Sawa kila upande uweke mezani vyanzo vya mapato kwa miaka 4 - naona TRA ianzie hapo.
 
Wakati awamu ya 5 wananyoosha nchi kuna sehemu waliziacha zimepinda?
 
Kutishia kusema maovu ya mtu ni blackmail.

Kosa la kufaa kumshtaki anayesema anatishia kusema maovu.

Kama mtu ana maovu, yaseme tu.

Usiyatumie kama mtaji wa kumtisha.

Makonda anafanya blackmail.
Kwa mazingira yalivyo huenda hii 'black mail' ikafanya kazi na wakaacha kumsumbua.
 
Mimi pamoja na kusota shule( chuo)miaka mitano nnamiliki Subaru( Forester) halafu kenge tu aliyefoji vyeti nakusomea uvuvi uwani kwake amejaza magari ya kifahari😀😀😀!Asante sana Mungu kwa tarehe 17/3/2021
Kuna njia nyingi za watu kufanikiwa, sio lazima wote wapite chuo kuna wengine wamerithi tu au bahati nzuri maishani.
 
Hawa watoto hawajifunzi ...... Next ni Hapi......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…