Mali alizoficha bila kufanya transfer zote zitaanikwa,jinsi alivyozipata, na aliowadhurumu watarudishiwa, bado yale maviwanja ya dodomaMakonda akumbuke Naibu waziri Wa wizara ya Ardhi ni Ridhiwani Kikwete!
I think now will change to name...me with myselfHaha! Wow! So cool it's better now to be to yuyu..😂
Amepewa changamoto ya wazi...aweke vielelezo vya umiliki, period!Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja
Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso
The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Makonda ni jasusi
hakamatiki
Yupo anawachora tu
[emoji23][emoji23][emoji23]mako....ndaaa wakazie
PGO Hata Ccm Wenyewe WanaikataaKingai anauziwa kesi
Shangaa wewe mkuuYaani mtu aliyekuwa mkuu wa mkoa alikuwa anajua maovu ya watu flani flani akawa anakula konisi..maajabu si maajabu??
Nimeshangaa sana aiseeLeo nae anajua walio nyuma ya watu?
Yeye pia tulikuwa tunajua nani yuko nyuma yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutesa kwa zamu kweli
Leo Boss aliekuwa anakula raha kuliko wote nae analilia kiwanja seriously ?
Nilidhani atakuwa analala Burj Al Khalfa na kuendesha Bentley huko kumbe nae kaporomoka
Kweli ardhi hii usitembee juu yake kwa kuringa itakuja kukubana siku moja
Yuko kwenye nyumba ya vioo laini, wenzake vioo bullet proof, safari hii amejaa kwenye 18, atazaa bila uchunguAmepewa changamoto ya wazi...aweke vielelezo vya umiliki, period!
Kuna wakati pia alitakiwa aoneshe vyeti vya shule, hakuweka akaishia kulia😀
Huo uozo kwanini hakuusema wakati bado ni washikaji wanamwalika anaenda kula ftari wanampa na parcel yenye iphone. Huo uozo kwanini hakuusema kipindi anawaita wachangie misaada aliyokuwa anaitoa.Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja
Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso
The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Bila bila? Wakati amenisurika kupigwa Bomba, na hana mamlaka ya kuambia askari wafungue kesi yoyote, now toothless.Hadi tunaenda mapumziko timu zote ni bila bila.. ngoja tuone kipindi cha pili.
Hapo sasaYaani mtu aliyekuwa mkuu wa mkoa alikuwa anajua maovu ya watu flani flani akawa anakula kobisi..maajabu si maajabu??
Yaani Makonda anachezeshwa na kundi kubwa sana, na alikuwa anasakwa kuliko sabaya, Sasa hivi hawezi kutoa amri hata kwa mgambo wa wilaya ya kakonkoMiaka miwili nyuma makonda alikuwa na cheo Cha wazir mkuu kwa.kofia.ya ukuu.wa.mkoa had nape.wazir wa habari alifukuzwa Kaz na makonda
Makonda alikuwa mhimili uliojichimbia chini lakn bahat mbaya miziz chin Imeoza na watu wameshajua hayo toka mwez mach 2021 kilichobaki n kudondoka
SOMO LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani huo uozo (kama upo) ndo uliommilikisha eneo husika? Nilitegemea ajibu hoja kwa documents halafu kama ana uozo au jambo jingine liwe separated na umiliki wa eneo linalozungumziwaNaam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja
Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso
The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella