Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja

Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso

The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Amepewa changamoto ya wazi...aweke vielelezo vya umiliki, period!

Kuna wakati pia alitakiwa aoneshe vyeti vya shule, hakuweka akaishia kulia😀
 
Ati uozo!!! Alifanya kazi kwa kugushi vyeti jamaa kamlinda sasa ndio ana onyesha ubashite wake.
Uozo gani wa Gsm? Kwanini hukuutoa wakati ukiwa kiongozi?
Bashite chutama!!! Tayari uko uchi.. Ulio watumia kuua na kupora hawako upande wako tena!!
Sasa una pokea malipo ya matendo yako..
 
Leo nae anajua walio nyuma ya watu?

Yeye pia tulikuwa tunajua nani yuko nyuma yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Kutesa kwa zamu kweli

Leo Boss aliekuwa anakula raha kuliko wote nae analilia kiwanja seriously ?
Nilidhani atakuwa analala Burj Al Khalfa na kuendesha Bentley huko kumbe nae kaporomoka
Kweli ardhi hii usitembee juu yake kwa kuringa itakuja kukubana siku moja
 
Nimeshangaa sana aisee
Kajisahaulisha
 
Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja

Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso

The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Huo uozo kwanini hakuusema wakati bado ni washikaji wanamwalika anaenda kula ftari wanampa na parcel yenye iphone. Huo uozo kwanini hakuusema kipindi anawaita wachangie misaada aliyokuwa anaitoa.
Viongozi wa TZ wanafiki wakiwa wanakula wanafumba macho wakiachia ngazi ndo wanajifanya wanaona. Alifumbia macho huo uozo kwakuwa mnyororo wa ulaji ulikuwa unamfikia sasa umeanza kumtafuna
 
Miaka miwili nyuma makonda alikuwa na cheo Cha wazir mkuu kwa.kofia.ya ukuu.wa.mkoa had nape.wazir wa habari alifukuzwa Kaz na makonda

Makonda alikuwa mhimili uliojichimbia chini lakn bahat mbaya miziz chin Imeoza na watu wameshajua hayo toka mwez mach 2021 kilichobaki n kudondoka

SOMO LENYE MWANZO HALIKOSI MWISHO

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Makonda anachezeshwa na kundi kubwa sana, na alikuwa anasakwa kuliko sabaya, Sasa hivi hawezi kutoa amri hata kwa mgambo wa wilaya ya kakonko
 
Naam Uozo Usemwe na walio nyuma yake wasemwe na wote waliokosea hata ikiwemo wewe (Makonda) sheria ifuate mkondo wake muwajibike..., Huenda kufichiana Uozo ndio kulipelekea wewe kupewa hicho kiwanja

Hii nchi haipaswi kuendeshwa kimafioso

The biggest looser hapa ni Tanzania kama nchi..., yaani hii nchi imekuwa kama Telenovella
Kwani huo uozo (kama upo) ndo uliommilikisha eneo husika? Nilitegemea ajibu hoja kwa documents halafu kama ana uozo au jambo jingine liwe separated na umiliki wa eneo linalozungumziwa
 
Makonda ni laanakum mfitinishi amefitinisha family nyingi
Mwanza yule Meya mjombake
Mzee Spika Samweli Sitta
Mzee Kiwete
Anajua kujiweka kimbelembele kwa familia kubwa
Mzee Mengi
GSM family
MO
Mkumbuke Jiwe mwenyewe alimkinai huyu mnafiki
USA haeamtaki kabisa na zile chenchi za ndege hawezi zifuata kule
 
Back
Top Bottom