Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

Nadhani wakati ulikouwa unasubiriwa na wengi umekaribia tena haswa baada ya Mbowe kutoka jela. Makonda alikuwa anapigiwa hesabu naona wapigaji hesabu wamefikia kwenye jibu.

Makonda walikuwa wanamlia mingo wamtie adabu naona yeye kapalilila njia. Nadhani hii ya kiwanja asipotulia na kumaliza hili akipelekwa mahakamani wataibuka mpaka wakina Ndama mtoto wa ngombe aliowazulumu magari yao ya thamani. Kwa akili zake nadhani alitakiwa hata akimbie nchi hii mana watu wana hamu nae sana kumtia adabu ili akili yake ikae sawa. Lazima akumbushwe kwamba baba yake aliyekuwa anampa kiburi yuko akhera.

The guy was more powerful than Interior minister, IGP he use to extort people with his own assembled hitsquad. Alivamia clouds na wanausalama wakiwa na mabunduki. Huyu anasababisha wananchi tukumbuke Katiba mpya hawa chawa wenye nguvu wakatwe mikia.
 
Nchi hii ina majitu mafia Sana, yako kila kona siku wakitanjwa hadhatani masikio yatapasuka. Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿.
 
Makonda ni Bora angebaki kimya tu maana hakuna mtu yeyote anayemuonea huruma zaidi ya kufurahia yanayomtokea kwa sasa
 
MAKONDA USITAKE TUAMINI WASEMAYO KUWA HATA UTAWALA WA MTAKATIFU NAO HAUKUWA SAFI ULIKUWA NA MADUDU KUKAA KIMYA KWAKO KUTASAIDIA KUAMINI MWENDA ZAKE ALIKUWA MSAFI CHONDE KAA KIMYA KAMA ALIVYOKAKUKALIA KIMYA MZEE KWENYE KADHIA YA MAKONTENA PALE BANDARINI
 
Nilidhani bashite ana akili nyingi lakini kweli hana. Kubenea na sasa GSM hao ni front tuu wapo wenyewe mastermind wa hii michezo wapo nyuma wanaongea kw upole na mahesabu lakini wanataka kumtia adabu bashite kama yeye alivyowatia adabu na kuwalostisha wengine kama kina Abdul Candida alias Abdul Nsembo, bashite aliwapelekesha mpaka kina marehemu Mengi
 
GSM sio mtumishi wa umma, sisi umma tuliokupa ukuu wa wilaya na mkoa ndio tunakuhoji, ulipataje Mali hiyo? Tume ya Maadili wanalijua? Kama wewe kidume wataje hao watu tukumalizie, hapo nyumbani umejaza magari ya kudhulumu na ya wizi, umejengea wazazi wako maghorofa huko mwanza, mkweo Ngara, umeghushi vyeti vya elimu.

Huna pa kutokea na wananchi Wana hamu sana kukuona mahakamani.

Na siku Samia anakupeleka mahakamani ndiyo siku anazoa asilimia 95 ya kura za uraisi, hajajua tu kwamba taifa linaizungukia nyumba yako kama mbwa wenye njaa wanavyomwona sungura ndani ya banda
Ukihoji watumishi wengi wa umma Tanzania kuhusu wapi wamepata mali utawafunga wote. Asilimia kubwa ni michongo.
 
Pia gsm nae awe makini siasa Ni mchezo fln HV utashanga atakuja kuibuka rais akampenda makonda akamrudisha makonda kwenye power hkn rang wataacha kuona watakimbia nnchi hutujui Nani anakuja kuwa rais ikitokea sukumagang Tena oooh sipati picha hicho kipigo watakachakipata team msoga hawatawalipa warudie

So natoa Rai gsm acha kuwachezea wanasiasa hiki unachotaka kufanya utashinda ila huna uhakika Kam utashninda milel

It's not over untill it's over
 
Ukihoji watumishi wengi wa umma Tanzania kuhusu wapi wamepata mali utawafunga wote. Asilimia kubwa ni michongo.
Tunaongelea Makonda, jambazi lililovaa beji ya Utumishi wa umma.
 
Makonda anajuwa naibu waziri wa Aridhi ni nani? Na yukoje na GSM?
 
Hapa zipo awamu zinapambana! Ni aibu mno kwa Taifa! Aibu sana! Hivi vita wataivaa machawa lakini hii ni vita ambayo ukweli bila unafiki ndio utaamua!

Tumuombee sana Mama Samia, ili avae ujasiri! Amuangalie Mola wake asipepese macho kwa mtu! Hii nchi imeoza inahitaji ukombozi wa pili.
 
ETI LEO GHARIB ANAKANA KUMFAHAMU MAKONDA ???

NDUGU WATANZANIA GHARIB NA MAKONDA NI KAMA MWIZI NA MFICHA MALI ZA WIZI WOTE NI MAJAMBAZI.HALAFU NINAJIULIZA INTEREST YA MANGE KIMAMBI UPANDE WA GSM AMEKUWA MTETEZI WAKE MKUBWA SANA.HILI JAMBO LINAFIKIRISHA SANA.

WATANZANIA TUNA AKILI ZETU HUU SI WAKATI WAKUSHIKANA AKILI.

KATIKA HILI KILA MMOJA ALE MSHAHARA WAKE HAKUNA MALAIKA HAPA BALI KUNA VISASI VYA AWAMU YA TANO,MWENYE KUHISI NI MUDA WAKE WA KULIPIZA NA ANAEHUKUMIWA KWA HISTORIA YAKE.

IUNDWE TUME HURU WOTE WAENDE JELA
 
Safari hii Makonda atatoa kimba zote mpaka kitambi kiishe
 
ETI LEO GHARIB ANAKANA KUMFAHAMU MAKONDA ???

NDUGU WATANZANIA GHARIB NA MAKONDA NI KAMA MWIZI NA MFICHA MALI ZA WIZI WOTE NI MAJAMBAZI.HALAFU NINAJIULIZA INTEREST YA MANGE KIMAMBI UPANDE WA GSM AMEKUWA MTETEZI WAKE MKUBWA SANA.

KATIKA HILI KILA MMOJA ALE MSHAHARA WAKE HAKUNA MALAIKA HAPA BALI KUNA VISASI VYA AWAMU YA TANO,MWENYE KUHISI NI MUDA WAKE WA KULIPIZA NA ANAEHUKUMIWA KWA HISTORIA YAKE.

IUNDWE TUME HURU WOTE WAENDE JELA
Hizi issue ni za mazimwi! We are not stupid! Wanajuana hawa na chain zao!

Issue ya 2013 wanaibua 2022! Mama Samia usiwachekee hawa, utavuna mabua! Hii issue ina 11 years inaibuka sasa! Why kipindi hiki?
 
Pia gsm nae awe makini siasa Ni mchezo fln HV utashanga atakuja kuibuka rais akampenda makonda akamrudisha makonda kwenye power hkn rang wataacha kuona watakimbia nnchi hutujui Nani anakuja kuwa rais ikitokea sukumagang Tena oooh sipati picha hicho kipigo watakachakipata team msoga hawatawalipa warudie

So natoa Rai gsm acha kuwachezea wanasiasa hiki unachotaka kufanya utashinda ila huna uhakika Kam utashninda milel

It's not over untill it's over

GSM anadai Mali zake. Hivi Ni kosa kudai mali yako kisa unaemdai anaweza kupendwa na Rais ajaye.
 
GSM anadai Mali zake. Hivi Ni kosa kudai mali yako kisa unaemdai anaweza kupendwa na Rais ajaye.
Alitoa kwa misingi ipi? Hii ni sawa na utume pesa kulipa deni halafu udai kureverse muamala.

UCHUNGUZI UFANYIKE HAKI IONEKANE
 
Back
Top Bottom