Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika horuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi .

Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu .

View attachment 2958126

Hapa akizungumzia Majengo yaliyopauka

View attachment 2958128
Aambiwe, aliwahi kuwepo Lyatonga mrema,akawa waziri wa Mambo ya ndani, na naibu waziri mkuu, aliingiria mpaka Mambo ya ndani ya familia na u nyumba,
Kwa jinsi alivyovuma saaaana, ndio alivyoporomoka
 
Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika horuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi .

Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu .

View attachment 2958126

Hapa akizungumzia Majengo yaliyopauka

View attachment 2958128
Vile vile afundishwe Historia ya Dr kleruu, alikuwa mbabe balaa, aliishia kula shaba na kufia mtaroni as a dog!
 
Ngoja tuone
hahaha ila mi chadema mwenzako nakumbuka 2010 anagombea docta slaa nilipigwa na boom kwenye mkutano wa slaa nikadumbukia shimo la choo nimetoka muke nikasema chadem dam dam huku nimeloa mavi oyaa chadema dam dam kwahy we mtoa mada mi ni mwanacham damdam kabla hujazaliwa mi ni chadema dam dam
 
Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika horuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi .

Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu .

View attachment 2958126

Hapa akizungumzia Majengo yaliyopauka

View attachment 2958128
Chadema lazima mnyooke kwa Makonda nimemsikiliza vizuri kwenye clip kuwa lazima wenye nyumba katikakati ya mji wazipake rangi zipendeze ziupambe mji wa Arusha kama hawataki wazibomoe….
Hata sheria za majiji zinawataka wapake rangi nyumba na majengo yaliyo katikati ya mji….
Makonda kanyaga twende
 
Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika horuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi .

Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu .

Hapa akizungumzia Majengo yaliyopauka

View attachment 2958128
Abomoe watu wagawane sambwanda lile
 
hahaha ila mi chadema mwenzako nakumbuka 2010 anagombea docta slaa nilipigwa na boom kwenye mkutano wa slaa nikadumbukia shimo la choo nimetoka muke nikasema chadem dam dam huku nimeloa mavi oyaa chadema dam dam kwahy we mtoa mada mi ni mwanacham damdam kabla hujazaliwa mi ni chadema dam dam
so what ?
 
Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika horuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi .

Hapa alikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu .

Hapa akizungumzia Majengo yaliyopauka

View attachment 2958158
Tunampaisha bashite bila sababu
 
Avunje nyumba ya Mtu Kwa kutopakwa rangi? Huyu mpuuzi analelewa lakini asicheze na wanaojitambua.
Kama nyumba yako upo mjini jitahidi uufanyie usafi ikiwepo kuipaka rangi vizuri ipendeze vizuri na kuvutia.hiyo ni kwa faida yako mwenyewe .maana hiyo ni mali yako.jiji la Arusha ni lazima lifanane na hadhi yake na kuwa kweli Geneva ya Afrika.
 
Back
Top Bottom