Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

Aambiwe, aliwahi kuwepo Lyatonga mrema,akawa waziri wa Mambo ya ndani, na naibu waziri mkuu, aliingiria mpaka Mambo ya ndani ya familia na u nyumba,
Kwa jinsi alivyovuma saaaana, ndio alivyoporomoka
 
Vile vile afundishwe Historia ya Dr kleruu, alikuwa mbabe balaa, aliishia kula shaba na kufia mtaroni as a dog!
 
Ngoja tuone
hahaha ila mi chadema mwenzako nakumbuka 2010 anagombea docta slaa nilipigwa na boom kwenye mkutano wa slaa nikadumbukia shimo la choo nimetoka muke nikasema chadem dam dam huku nimeloa mavi oyaa chadema dam dam kwahy we mtoa mada mi ni mwanacham damdam kabla hujazaliwa mi ni chadema dam dam
 
Chadema lazima mnyooke kwa Makonda nimemsikiliza vizuri kwenye clip kuwa lazima wenye nyumba katikakati ya mji wazipake rangi zipendeze ziupambe mji wa Arusha kama hawataki wazibomoe….
Hata sheria za majiji zinawataka wapake rangi nyumba na majengo yaliyo katikati ya mji….
Makonda kanyaga twende
 
Abomoe watu wagawane sambwanda lile
 
so what ?
 
Tunampaisha bashite bila sababu
 
Avunje nyumba ya Mtu Kwa kutopakwa rangi? Huyu mpuuzi analelewa lakini asicheze na wanaojitambua.
Kama nyumba yako upo mjini jitahidi uufanyie usafi ikiwepo kuipaka rangi vizuri ipendeze vizuri na kuvutia.hiyo ni kwa faida yako mwenyewe .maana hiyo ni mali yako.jiji la Arusha ni lazima lifanane na hadhi yake na kuwa kweli Geneva ya Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…