kitaalamu hizo si rangi za kupaka kuta za nyumba na zikatazamika itakuwa ni kituko. Rangi za kupaka nyumba zinajulikana ni zipi. Hizo kijani na njano ni brand colour ya ccm inayopakwa kwenye ofisi zao na ni nje tu, ukipaka ndani ni kero kisaikolojia hazifai. Kila mji unapaswa kupangiliwa rangi za kupakwa kwa mpangilio kama mombasaIwe kijani au njano
Hata Nyerere aliwahi kuusiwa kama hivi hiviNiliwahi kukuusia ndugu yangu Erythrocyte, haya masiasa yatakuumiza, achananayo, fanya mambo yako. Kuwa kama mimi mzee baba
ππΌMakonda ni mjinga au ni mpumbavu,,
Kama unajitambua kwanini usipake rangi sasa nyumba ipo katikati ya mji? Halafu wakija wageni wakapiga picha wakarusha kwenye mitandao kelele zinaanza. Binafsi naona yupo sawa, kama hutaki nyumba inayovutia kajenge vijijini nje ya miji.Avunje nyumba ya Mtu Kwa kutopakwa rangi? Huyu mpuuzi analelewa lakini asicheze na wanaojitambua.
Jamaa hana akili ndio maana hawezi kujifunzaPaulo Makonda juzi kasema hajajifunza jambo lolote- Swali hivi unatolewa Ukatibu UENEZI Taifa unapelekwa kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote hii ni kauli mbaya kwa mamlaka ya Uteuzi
Wewe ulikuwa unaagiza waziri mkuu; mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wilaya, wakurugenzi, ma RPC unaenda kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote
Ziara zake zilijaa ubabe badala ya kujenga Chama uliongeza mpasuko
Ccm mliona mapema huyu angeua Chama
Mwambie mama amwachisheee... Halafu wewe umepata cheo gani?Paulo Makonda juzi kasema hajajifunza jambo lolote- Swali hivi unatolewa Ukatibu UENEZI Taifa unapelekwa kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote hii ni kauli mbaya kwa mamlaka ya Uteuzi
Wewe ulikuwa unaagiza waziri mkuu; mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wilaya, wakurugenzi, ma RPC unaenda kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote
Ziara zake zilijaa ubabe badala ya kujenga Chama uliongeza mpasuko
Ccm mliona mapema huyu angeua Chama
Bado anajioweza tu huyu Makonda. Hotuba yake ya jana ilijaa:- Mimi......mimi......mimi...
Ujinga wako ni tatizo kwa jamii,wewe kwa upumbavu wako unafikiri alikuwa ana agiza kama makonda au kama mwenezi?!. Unajua hakuna kitu kibaya kama kuruhusu mtu autawale moyo wako,chuki ikikaa moyoni ina ua hekima na busara,mwondoe makonda moyoni mwako.utaiona furaha.Paulo Makonda juzi kasema hajajifunza jambo lolote- Swali hivi unatolewa Ukatibu UENEZI Taifa unapelekwa kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote hii ni kauli mbaya kwa mamlaka ya Uteuzi.
Wewe ulikuwa unaagiza waziri mkuu; mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wilaya, wakurugenzi, ma RPC unaenda kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote
Ziara zake zilijaa ubabe badala ya kujenga Chama uliongeza mpasuko
Ccm mliona mapema huyu angeua Chama
ππππππPaulo Makonda juzi kasema hajajifunza jambo lolote- Swali hivi unatolewa Ukatibu UENEZI Taifa unapelekwa kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote hii ni kauli mbaya kwa mamlaka ya Uteuzi.
Wewe ulikuwa unaagiza waziri mkuu; mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wilaya, wakurugenzi, ma RPC unaenda kuwa mkuu wa mkoa unasema hujajifunza lolote
Ziara zake zilijaa ubabe badala ya kujenga Chama uliongeza mpasuko
Ccm mliona mapema huyu angeua Chama
Leo yuko wapi ?Ujinga wako ni tatizo kwa jamii,wewe kwa upumbavu wako unafikiri alikuwa ana agiza kama makonda au kama mwenezi?!. Unajua hakuna kitu kibaya kama kuruhusu mtu autawale moyo wako,chuki ikikaa moyoni ina ua hekima na busara,mwondoe makonda moyoni mwako.utaiona furaha.