Pre GE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu sijui umewaza nini kunipa kazi ya upigaji tarumbeta 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
kwanza, ukumbi utakuwa Mbande Kiponza kwa kina Poor Brain
Pili, simuachi babycare ng'o
Oyaaa weeeeh umepatia kinoma noma...

Ukumbi upo hapa tena wanapaita free park au kama vipi tutafanyia pale Garimbo near na mikumi mkuu..

Sema mambo ya kupiga tarumbe ndo mnazingua kaka ,😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia kumbi kwa ajili ya harusi zitakazofungwa mkoani humo na maharusi wanaotoka nje ya jiji la Arusha ili kuvutia wageni na kukuza uchumi.
Hii kama haitakuwa ni kukamatana mashati na matajiri wa jiji
 
Wanaupenda utawala wa majimbo kumbe, why cannot do for the whole country?
 
Huyu ubunge mchana kweupe ana chukua
 
Anajua kuongoza Watanzania,
Watanzania tunahitaji kiongozi aliye straight, aliye makini na kazi yake anayejiamini
Sifa zote hizi Makonda anazo!
Kwamba kuwalipia watu harusi Ndio kuwa straight up wakati watu hawana bima za afya Wala uhakika wa matibabu? Hao wafanyabishara anawalazimisha kutoa Kumbi Kwa lazima si awaambie wachagie mfuko wa bima ya afya kwa wote? We ni skunk of the nation
 
Kwamba kuwalipia watu harusi Ndio kuwa straight up wakati watu hawana bima za afya Wala uhakika wa matibabu? Hao wafanyabishara anawalazimisha kutoa Kumbi Kwa lazima si awaambie wachagie mfuko wa bima ya afya kwa wote? We ni skunk of the nation
Halafu kuna wajinga wanamuona huyu kiazi Bashite eti anaweza kuwa kiongozi mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…