mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Unajua maana ya Chama kushika Hatamu?Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.