Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui na hujijui kuwa hujui,endelea kujidanganya.Punguza ujinga,huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.
Msemaji mkuu wa CCM ni Katibu Mkuu.Makonda ni mtoa taarifa wa vikao vya Halmashauri Kuu ya CCM.Kazi nyingine anajipachika kwakuwa CCM ilishajifia siku nyingi.
Kumbe ni katibu wa NEC itikadi na uenezi tu? Nikajua labda ni Katibu mkuu.Acha ujinga wewe unajua cheo cha katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenez??
NapitaKamaRadi
Haya wapi kwenye hayo majukumu 6 (a-f) anapopata nguvu ya kuingilia shughuli za mawaziri au ma RCs ?Soma hapo!View attachment 2794733View attachment 2794734
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kupiga kelele ni kawaida kwa mtu mwenye mitako mikubwa kuliko akili!!Huu ni mfumo kwa sababu serikali inapasa kutekeleza ilaani ya Chama Cha mapinduzi.Kama utaratibu huu isingekuwepo,basi asingekuwa na nguvu ya kutupigia kelele hivi
Itikadi na uenezi ndani ya chama chake sio kwenye serikali.Huyu siyo msemaji tu, ni Katibu wa Itikani na Uenezi..elewa haya maneno mawili wewe kimana
Hana mamlaka ya kumpangia waziri cha kufanya maana yeye yupo ndani ya chama sio serikali.Mkuu huyu hakuna kikao cha CCM asichoshiriki kwa ngazi yoyote ile...yaani mauchafu yote ya CCM yanayopangwa kuhusu nchi hii yeye yumo na anahusika...
Hivyo anachokiongea anakijua na anajua mamlaka yake... sasa hivi yupo jikoni kabisa.
Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
Hata Rais akitaka kumuwajibisha waziri yeyote humuwajibisha kwa cheo chake cha Urais na sio kwa cheo cha Mwenyekiti wa chama Taifa.Mkuu huyu hakuna kikao cha CCM asichoshiriki kwa ngazi yoyote ile...yaani mauchafu yote ya CCM yanayopangwa kuhusu nchi hii yeye yumo na anahusika...
Hivyo anachokiongea anakijua na anajua mamlaka yake... sasa hivi yupo jikoni kabisa.
Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
Wewe ni jinsia gani tafadhali.Ila i don't know why nafurahi sana nikianza kumsikia huyu jamaa akiongea... He, deserve to lead hata kama anaweza kuwa na mapungufu yake ila kiti kinamuenea vyema
Kwa mawazo yako haya, unataka kutuambia Makonda kama mwenezi wa chama, an uwezo wa kuwawajibisha mawaziri na maRC? Ni kujimwambafy tu na dharau. Hajui ukomo na mipaka ya madaraka yake. Kitendo cha kumsimamisha RC wa dar kwa kumuita huyu...ni kitendo cha dharau mbele za watu.CCM ina nguvu kuliko miimili yote ya serikali sababu bila chama huyo waziri hayupo na makonda kama katibu wa uenezi ana impact kubwa sana kwenye chama.
Tarajia tu mkuu, Me nilishasema.Wewe ni jinsia gani tafadhali.
Sitarajii kusikia ni mwanaume kwasababu mwanaume hawezi kufurahi kusikia mwanaume mwenzie akiongea.
Chama ni baba na serikali ni mtoto!Itikadi na uenezi ndani ya chama chake sio kwenye serikali.
Huku serikalini Boss wa mawaziri ni kuanzia Waziri mkuu, Katibu mkuu kiongozi,makamu wa Rais na Rais.
Ni mtumishi wa Chama kinachoiweka serikali madarakani. Huyo mleta mada atakuwa ni mmoja wa mawaziri aliyejaa kiburi haswa anapomuona Rais Samia ni mpole.Cheo chake ni kikubwa kuliko uwaziri
Kazi ya Waziri Mkuu ni nini? Kazi ya Rais ni nini? Na kazi ya Katibu Mkuu wa CCM ni nini mpaka mnatamani huyu shoga mwenye makalio makubwa awakemee mawaziri?Ni mwenezi wa CCM na hao mawaziri ni wa CCM. Elewa kwa kina uhusiano uliopo kati ya Makonda na hao wateuliwa wa CCM.
Inakera kidogo ukitafakari lakini ndio uhalisia uliopo.
Basi kama ni hivyo, Rais Samia ampishe kiti Nyamitako tujue moja kuwa ameshindwa kazi?Ni mwenezi wa CCM na hao mawaziri ni wa CCM. Elewa kwa kina uhusiano uliopo kati ya Makonda na hao wateuliwa wa CCM.
Inakera kidogo ukitafakari lakini ndio uhalisia uliopo.
Zama zimebadilika, msipokua makini mtakamuliwa kinyesi.Wakumbushe hao ma zwaza, Makonda piga kazi mpaka maji waite inya