Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

Ku
Chuma kimeshaanza kutema chechunajua kunawakati watu tunachukulia poa watu design ya makonda, ccm imekaa imeangalia ninani anaweza wakoromea ma DC na wakurugenzi wakaona kuna kuni ya akiba ipo darini.
 
Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
hana mamlaka kuwawajibisha wakuu wa mikoa na mawaziri, asidhani kama ataweza kusaga kunguni kwa wenzake kama wakati ule. Kwanza kajifaragua vibaya kwa kusema akifanywa atakuwa vilevile alivyofanywa, akifanywa imla naye atakuwa imla, mcha mungu atakuwa mcha mungu, hata akifanywa shetani atakuwa sheta. Huo ndio utawala gani kama si ulimbukeni wa madaraka?
 
1698346762615.jpeg
 

Mtu mweupe kichwani ni mweupe tu, hata awe na cheo au avae miwani kubwa.
Ukisikia Mitaani wanavyomjadili Makonda wqmeonekana wameumia Sana na wanameingiwa na uoga.
Msiwe na wasiwasi hatowataja Wauza madawa ya Kulevya wala Wanasiasa Matapeli wala Wanasiasa wajanja wajanja wala Wanasiasa wanaoishi kwa ufadhili wa waume zao huko Uturk na ubelgj wala Hatowataja wafadhili wa Vitendo vya Ushoga na Usagaji wala hatowataja wanaotumia ruzuku za Chama kwenda Ulaya kula Bata wala hatowataja Wenye Uraia wa Nchi mbili wala hatowataja wanaomiliki Magenge ya Waharifu nasikia Deo Yupo Mbinguni rafiki yake Lem wala hatowayaja Walioishia fedha za kukodisha chopa wala hatowataja waliowahobga Tk kuandika waraka wala hatowataja Namna wanavyoshiriki kuwadanganya Watanzania.
Infact: Hatowataja Wote Mafisadi waliodiriki kusema Saizi wanalamba asari mpaka huko Tanesc Magari na Mitambo Kibao ni mali yake🤣🤣🤣
 
Mh.Paul makonda yupo sahihi. Nchi yetu haina mgombea binafsi cha Tawala CCM ndio yanatoa ushauri kwa serikali madiwani, wabunge, mawazili wengi wanatokana Chama Tawala CCM Makonda ndiye boss ingawa yupo chini ya mwenyekiti,katibu na makam mwenye kiti
 
Upeo wako wa kuona mambo katika nchi hii umeishia njombe mkuu.
 
Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Kama hana madoa afike mbali sana🤲🙏
Kama ana madoa mabaya aondoke🤲🙏
...
 
Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Wananchi Yanga Au?
 
Mkuu huyu hakuna kikao cha CCM asichoshiriki kwa ngazi yoyote ile...yaani mauchafu yote ya CCM yanayopangwa kuhusu nchi hii yeye yumo na anahusika...

Hivyo anachokiongea anakijua na anajua mamlaka yake... sasa hivi yupo jikoni kabisa.


Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
Nape akae mkao wa kula sasa
 
Wewe sio GT.. tuliza Bali zalaki..

Acha tunaojua kufikiria nije ya boksi tangu anatamka live..

Pia Acha makasirikooooooo...
 
Yani hata mseme nini, ndio kashatoa maelekezo. Na sisi wananchi leo tumefarijika sana kumuona kafika kwenye kiti hicho. Na Mungu ni Mwema, atafika mbali zaidi tunapopataka.
Kaja kaanza na kumrengua msanii WA watu kiuno ili aendelee kuimarika ila Mungu ni mwenye kuona!!
 
Yeye huwa anajipa mamlaka, kesha teuliwa na rais anajipa mamlaka ya rais, mnashangaa nini na mnamfahamu?
 
Ila i don't know why nafurahi sana nikianza kumsikia huyu jamaa akiongea... He, deserve to lead hata kama anaweza kuwa na mapungufu yake ila kiti kinamuenea vyema
Pengine una msambwanda kama yeye, vimelea vya ushoga
 
Mkuu hujamuelewa Makonda, ametuma ujumbe mapema kwa mawaziri, wabunge, viti maalum, wakuu wa mikoa, wakuu wa Wilaya kujiandaa kumuona mapema maana kwenye uchaguzi ujao yeye ndiye mwenye chujio!

Miaka mitatu ya kusota sio mchezo, kasota sana, anataka kufidia na kujijenga. Kama hawatamuelewa mapema wajiandae kwa vilio!
Makonda hachuji mtu

Yeye kazi yake ni kuwauza wagombea wote kwa wananchi
 
Hayo ni maneno ya kumlainisha bi mkubwa ili atapokuwa anatengeneza mkeka, akumbukwe...

Huyu jamaa hicho cheo kapewa kama daraja tu la kumrudisha siasani na mwisho wa siku ana cheo kikubwa zaidi kinamngoja mbeleni huko...
 
Bado ana hangover ya utawala wa kiburi wa enzi za magufuli. Lakini kwa kuwa ccm imepoteza ushawishi, watu wenye kiburi Cha madaraka ndio nguvu Yao kwa sasa. Na yeye Makonda anajua huko kwenye chama Chao ili uonekane wa maana ni kutoa lugha za vitisho, ama kufanya uhalifu kwani ndio njia ya uhakika ya ulinzi wa chama Chao.
Unajali kauli za vitisho za Makonda kwa mawaziri wa serikali ya ccm?
 
Back
Top Bottom