pilato93
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 6,296
- 6,692
Hajui kuwa makonda ana cheo kikubwa sana ndani ya ccmAcha ujinga wewe unajua cheo cha katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenez??
NapitaKamaRadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui kuwa makonda ana cheo kikubwa sana ndani ya ccmAcha ujinga wewe unajua cheo cha katibu wa halmashauri kuu ya taifa itikadi na uenez??
NapitaKamaRadi
Ukweli unabakia kwamba viongozi wa CCM wana sauti kwa mawaziri. Kumbuka namna Kinana alivyokuwa akizunguka mikoani miaka ile ya 2008-9 na kuikosoa serikali iliyokuwa ikilegalega.9Kazi ya Waziri Mkuu ni nini? Kazi ya Rais ni nini? Na kazi ya Katibu Mkuu wa CCM ni nini mpaka mnatamani huyu shoga mwenye makalio makubwa awakemee mawaziri?
Basi kama ni hivyo, Rais Samia ampishe kiti Nyamitako tujue moja kuwa ameshindwa kazi?
Dah! naona kihaya kimehusika Kwa mbaliiii....Huyu siyo msemaji tu, ni Katibu wa Itikani na Uenezi..elewa haya maneno mawili wewe kimana
Kwa bao ngapi??Labda akufikishe mbali kileleni
Wewe acha uchizi, Kinana alikuwa Katibu Mkuu usimlinganishe na huyu Nyamitako wako ambaye ni mwenezi!!Ukweli unabakia kwamba viongozi wa CCM wana sauti kwa mawaziri. Kumbuka namna Kinana alivyokuwa akizunguka mikoani miaka ile ya 2008-9 na kuikosoa serikali iliyokuwa ikilegalega.
Ile ndio kazi ya makatibu wenezi kama ulikuwa hujui.
Nyie akili zenu mumepoteza wapi? Yaani huyu Nyamitako mnamkweza sana kha!! Kama Makonda ataingia Bungeni, basi atakuwa kapeleka buashara ya matako tu na siyo kuhudhuria Bunge la JMT.Makonda amesema hivyo akijua nchi haitumii katiba na hakuna wa kumzuia. Makonda anao uwezo wa kuingia bungeni wakati wowote na hakuna anayeweza kumzuia, kifupi hatuna katiba inayoiongoza serikali kuiendesha nchi na kwa hilo ni kwamba CCM iko juu ya serikali.
Kihaya huzungumza Wahaya na Wanyambo nadhani. Kihaya kipo sehemu gani hapo braza? Nisijekuwa nimetukana maana nasikia hata Wilaya ya Chunya ni tusi!Dah! naona kihaya kimehusika Kwa mbaliiii....
Unaongea tu kwa sababu haufiatilii mwenendo mzima wa mambo, anza kwa kujiuliza hao wabunge walichaguliwa na nani, tuliwachagua? Kama jatukiwachagua kwanini asiweze kuingia ndani ya bunge lao? Mwenendo wa mahakama ukoje, je, mahakama zinafuata sheria au matakwa ya watu? Makonda anaweza kuamuru ukamatwe tu, hata ukitoka utakuwa umekwisha kaa siku nne, na hakuna fidia.Nyie akili zenu mumepoteza wapi? Yaani huyu Nyamitako mnamkweza sana kha!! Kama Makonda ataingia Bungeni, basi atakuwa kapeleka buashara ya matako tu na siyo kuhudhuria Bunge la JMT.
Ujumbe umeeleweka kwa walengwa ambao ni mawaziri na wasaidizi wao, hakuna tena muda wa kufanya uzembe halafu ubebwe na sheria au kanuni.Wewe acha uchizi, Kinana alikuwa Katibu Mkuu usimlinganishe na huyu Nyamitako wako ambaye ni mwenezi!!
Huu ujinga tuliufukia Chato wakati tunamfukia Mwendazake tarehe 27/ 03/ 21. Usijidanganye kwamba unaweza ukatudi tenaUnaongea tu kwa sababu haufiatilii mwenendo mzima wa mambo, anza kwa kujiuliza hao wabunge walichaguliwa na nani, tuliwachagua? Kama jatukiwachagua kwanini asiweze kuingia ndani ya bunge lao? Mwenendo wa mahakama ukoje, je, mahakama zinafuata sheria au matakwa ya watu? Makonda anaweza kuamuru ukamatwe tu, hata ukitoka utakuwa umekwisha kaa siku nne, na hakuna fidia.
Kukosekana kwa katiba na bunge ndiko kunakowafanya viongozi watumie kodi zetu kwa starehe zao na akina Mrisho Mpoto.
Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.Huyu siyo msemaji tu, ni Katibu wa Itikani na Uenezi..elewa haya maneno mawili wewe kimana
[emoji3][emoji3][emoji3] au TandahimbaUpeo wako wa kuona mambo katika nchi hii umeishia njombe mkuu.
Lile jumba bovu la CCM sasa ndiyo limepata mtu wa kuanguka nalo. Hamna namna Samia ataweza kupindua kura za wananchi kama alivyofanya Dikteta Magufuli. Wakati wa UPINZANI kuchukua nchi unarejea
Wangapi ambao mpaka sasa walikamatwa kwa kubikiwa makosa na wakaachiwa. Aliyeko madarakani alikuwa madarakani wakati ule nae alikuwa sehemu ya uamuzi ndio sababu anauendeleza usijidanganye.Huu ujinga tuliufukia Chato wakati tunamfukia Mwendazake tarehe 27/ 03/ 21. Usijidanganye kwamba unaweza ukatudi tena
Ubarikiwe sana Kwa nyongeza...Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.
Msikibeze cheo cha Mwenezi Taifa kwa kuwa hamumpendi Makonda
Acheni kuandika pumba, kazi za Mwenezi wa CCM hizi hapa:Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.
Msikibeze cheo cha Mwenezi Taifa kwa kuwa hamumpendi Makonda
Sasa kipengele E hapo umekielewa? Unajua kutafsiri sheria?Acheni kuandika pumba, kazi za Mwenezi wa CCM hizi hapa:View attachment 2801330