Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

9Kazi ya Waziri Mkuu ni nini? Kazi ya Rais ni nini? Na kazi ya Katibu Mkuu wa CCM ni nini mpaka mnatamani huyu shoga mwenye makalio makubwa awakemee mawaziri?

Basi kama ni hivyo, Rais Samia ampishe kiti Nyamitako tujue moja kuwa ameshindwa kazi?
Ukweli unabakia kwamba viongozi wa CCM wana sauti kwa mawaziri. Kumbuka namna Kinana alivyokuwa akizunguka mikoani miaka ile ya 2008-9 na kuikosoa serikali iliyokuwa ikilegalega.

Ile ndio kazi ya makatibu wenezi kama ulikuwa hujui.
 
Wewe acha uchizi, Kinana alikuwa Katibu Mkuu usimlinganishe na huyu Nyamitako wako ambaye ni mwenezi!!
 
Makonda amesema hivyo akijua nchi haitumii katiba na hakuna wa kumzuia. Makonda anao uwezo wa kuingia bungeni wakati wowote na hakuna anayeweza kumzuia, kifupi hatuna katiba inayoiongoza serikali kuiendesha nchi na kwa hilo ni kwamba CCM iko juu ya serikali.
Nyie akili zenu mumepoteza wapi? Yaani huyu Nyamitako mnamkweza sana kha!! Kama Makonda ataingia Bungeni, basi atakuwa kapeleka buashara ya matako tu na siyo kuhudhuria Bunge la JMT.
 
Dah! naona kihaya kimehusika Kwa mbaliiii....
Kihaya huzungumza Wahaya na Wanyambo nadhani. Kihaya kipo sehemu gani hapo braza? Nisijekuwa nimetukana maana nasikia hata Wilaya ya Chunya ni tusi!
 
Nyie akili zenu mumepoteza wapi? Yaani huyu Nyamitako mnamkweza sana kha!! Kama Makonda ataingia Bungeni, basi atakuwa kapeleka buashara ya matako tu na siyo kuhudhuria Bunge la JMT.
Unaongea tu kwa sababu haufiatilii mwenendo mzima wa mambo, anza kwa kujiuliza hao wabunge walichaguliwa na nani, tuliwachagua? Kama jatukiwachagua kwanini asiweze kuingia ndani ya bunge lao? Mwenendo wa mahakama ukoje, je, mahakama zinafuata sheria au matakwa ya watu? Makonda anaweza kuamuru ukamatwe tu, hata ukitoka utakuwa umekwisha kaa siku nne, na hakuna fidia.
Kukosekana kwa katiba na bunge ndiko kunakowafanya viongozi watumie kodi zetu kwa starehe zao na akina Mrisho Mpoto.
 
Wewe acha uchizi, Kinana alikuwa Katibu Mkuu usimlinganishe na huyu Nyamitako wako ambaye ni mwenezi!!
Ujumbe umeeleweka kwa walengwa ambao ni mawaziri na wasaidizi wao, hakuna tena muda wa kufanya uzembe halafu ubebwe na sheria au kanuni.
 
Unaongea tu kwa sababu haufiatilii mwenendo mzima wa mambo, anza kwa kujiuliza hao wabunge walichaguliwa na nani, tuliwachagua? Kama jatukiwachagua kwanini asiweze kuingia ndani ya bunge lao? Mwenendo wa mahakama ukoje, je, mahakama zinafuata sheria au matakwa ya watu? Makonda anaweza kuamuru ukamatwe tu, hata ukitoka utakuwa umekwisha kaa siku nne, na hakuna fidia.
Kukosekana kwa katiba na bunge ndiko kunakowafanya viongozi watumie kodi zetu kwa starehe zao na akina Mrisho Mpoto.
Huu ujinga tuliufukia Chato wakati tunamfukia Mwendazake tarehe 27/ 03/ 21. Usijidanganye kwamba unaweza ukatudi tena
 
Acha kuwaponza hao viongozi.Neno Moja tu la Makonda kwa Mama,Mheshimiwa anachapa raba.
Kama ni hivyo basi Mama ni DHAIFU. Yaani huwezi kuwasimamia mawaziri mpaka usaidiwe kupiga kelele na bazazi Makonda!!
 
Huyu siyo msemaji tu, ni Katibu wa Itikani na Uenezi..elewa haya maneno mawili wewe kimana
Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.

Msikibeze cheo cha Mwenezi Taifa kwa kuwa hamumpendi Makonda
 
Lile jumba bovu la CCM sasa ndiyo limepata mtu wa kuanguka nalo. Hamna namna Samia ataweza kupindua kura za wananchi kama alivyofanya Dikteta Magufuli. Wakati wa UPINZANI kuchukua nchi unarejea

Wapinzani gani wachukue nchi?
 
Huu ujinga tuliufukia Chato wakati tunamfukia Mwendazake tarehe 27/ 03/ 21. Usijidanganye kwamba unaweza ukatudi tena
Wangapi ambao mpaka sasa walikamatwa kwa kubikiwa makosa na wakaachiwa. Aliyeko madarakani alikuwa madarakani wakati ule nae alikuwa sehemu ya uamuzi ndio sababu anauendeleza usijidanganye.
 
Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.

Msikibeze cheo cha Mwenezi Taifa kwa kuwa hamumpendi Makonda
Ubarikiwe sana Kwa nyongeza...

Amos Makalla alikwaruzana kidogo na Mtemvu akaondolewa siku hiyohiyo hapo Dar!

Mtemvu ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar
 
Kuongezea tu, hao Ma-RC ni Makamisaa wa Chama ngazi ya Mikoa Yao, na hao Makamisaa wapo chini ya Katibu wa CCM Mkoa achilia mbali Mwenezi Taifa.

Msikibeze cheo cha Mwenezi Taifa kwa kuwa hamumpendi Makonda
Acheni kuandika pumba, kazi za Mwenezi wa CCM hizi hapa:
IMG-20231102-WA0006.jpg
 
umesahau wakati ule kina Kinana akiwa katibu mkuu wa chama waliwaita baadhi ya mawaziri Mzigo?
 
Back
Top Bottom