Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Punguza ujinga,huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine.Mkuu huyu hakuna kikao cha CCM asichoshiriki kwa ngazi yoyote ile...yaani mauchafu yote ya CCM yanayopangwa kuhusu nchi hii yeye yumo na anahusika...
Hivyo anachokiongea anakijua na anajua mamlaka yake... sasa hivi yupo jikoni kabisa.
Unakumbuka Nape akiwa kwenye nafasi hiyo aliwahi kusema kuna Mawaziri mizigo, na baadhi ya mawaziri wakatumbuliwa.
Msemaji mkuu wa CCM ni Katibu Mkuu.Makonda ni mtoa taarifa wa vikao vya Halmashauri Kuu ya CCM.Kazi nyingine anajipachika kwakuwa CCM ilishajifia siku nyingi.