Makonda huna mamlaka juu ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa

Sasa kipengele E hapo umekielewa? Unajua kutafsiri sheria?
Kama huelewi wewe sema tukueleweshe. "Kuongoza na Kusimamia maandalizi ya sera" bado haimpi hiyo nguvu
 
Waambie hao wakubwa wanaompa Makonda hiyo nguvu kuwa wanajipiga risasi mguuni.

Literally ni kukubali kuwa ameshindwa kutawala nchi. Akae pembeni wenye uwezo watuongoze
 
Na ww unakaza tu kichwa...kwani wamekwambia mawaziri na na ma RC wanashida na makonda? Unanapiga domo tu..hujui hata wanachama wanapatikana vipi...miaka yote kabla makonda mlitafuta wanachama? Bora hata yeye anawanachama wa kutosha
 
Uko nje ya mada sister Guluma . Hebu soma upya, siyo kukurupuka kujibu tu
 
Sasa amekuwa RC Arusha. JE yuko tayari kuendeshwa na Katibu Mwenezi mpya wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…