Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

Ukitaka kujua nchi hii ni ya wapumbavu kiasi gani ,angalia kinachofanywa na kutamkwa na hawa waseng£ wanaoitwa viongozi aka watawala wa hii nchi na reaction ya wananchi wake .

 
Hii ndiyo tafsiri ya 0 Brain.
 
Ukitaka kujua nchi hii ni ya wapumbavu kiasi gani ,angalia kinachofanywa na kutamkwa na hawa waseng£ wanaoitwa viongozi aka watawala wa hii nchi na reaction ya wananchi wake .
Hamjamwelewa Makonda. Iko Hiviii kesho tarehe 12/10/2024 Jijini Arusha kuna LAND ROVER FESTIVAL ambayo inashkrikisha Wamiliki wa Land Rover toka Duniani kote. Inakadiriwa gari 1000+ aina ya Land Rover zitashiriki hiyo kesho na tukio hili linafuatiliwa Dunia nzima kwa sababu mara ya mwisho Festival ya Land Rover ilifanyika German kwa gari 632 na iko kwa Guiness Record.

Kwahiyo kesho hapo Arusha Tanzania inatafuta Guiness Record, Makonda ndiye RC na msimamizi wa Ugeni huo. Katika harakati za kuepusha JAM na foleni zisizo na msingi kutokana na wingi wa Rovers ambazo zipo arusha kwa Ugeni huo ndipo akaomba wale ambao hawana Rover kwa kesho kuwa wapole kupisha ugeni huo.
Shida hapa iko wapi? Nadhan sometimes tusichukie viongozi bila sababu. Hapa linapambaniwa Taifa na Utalii kwa ujumla. Utaifa kwanza, chuki zenu baadae.
 
Sijui tulimkosea nini Mungu.
 
Hapo mabilion ya fedhwa yashachotwa kimafia....
 
Anatumia ofisi ya umma kufanya matangazo ya biashara za Kampuni binafsi???
Kamati ya Maadili ilishamkita na hatia huyu lakini boss wake anazidi kumkumbatia na sasa anazidi kuvimba
 
Makonda bhana ......
 
Kukumbushana muhimu

"Nguo ya kuazima haistiri ......... " waswahili wamesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…