Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

Mimi nimeshangaa watu kufunga toka dar..!! Kwasababu ya bashite?
Wengi ni piga dili na washirikina waemeenda kumuunga mkono mwizi mwenzao, hakuna mwenye akili timamu hata mmoja ameacha kazi zake kwenda kwenye huo ujinga, watu kibao hapa Arusha hawajaenda kwenye huo ujinga, hapo Makonda anafanya mazindiko yake ya kishirikina tupu
 
Embu tulitee cheti cha kidato cha nne/sita kwa wafuatao;
1: Mzee Freeman Mbowe
2:Godbless Lema
3: Sugu,
4: Wenje
Ukishapata majibu ndio utajua kwani Chadema inasinyaaa kila uchao
Bado una mawazo ya kipumbavu sn, Mbowe alipomaliza f6 aliajiriwa BOT akaacha kwa hiari, kitu ambacho ukoo wenu wote hakuna ambaye amewahi hata kuwa tu mlinzi pale BOT, 2006 alienda nje ya nchi kusoma degree ya maswala ya uchumi, wenzako wanasoma kwa malengo ndiyo maana hao uliwataja wote hakuna ambaye hana degree + utajiri, wewe una vyeti ambavyo havikusaidii unaishi kwenye wimbi la umasikini wa kupindukia.
 
Back
Top Bottom