Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

Low IQ
 
Attachments

  • Screenshot_20241011_223347_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20241011_223347_Adobe Acrobat.jpg
    98.7 KB · Views: 1
Wakuu,

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani.

Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari zaidi ya 1000 aina ya Land Rover na kwamba kama unaishi Arusha na huna Land Rover baki tu nyumbani.

Soma pia: Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

"Kama huna jukumu lolote la muhimu la kutoka na gari basi kesho kama huna Land Rover baki tu nyumbani. Ningewaomba sana wananchi wa mkoa wa Arusha kama huna shughuli yoyote ile ya ulazima wa kutoka basi ningekuomba uvumilie siku ya kesho"

Mambo ni mengi muda ni mchache!
Zero brain
 
Huyu mwamba ametisha

Land Rover Festival imefana, dogo apewe maua yake. Pamoja na issue zake nyingi za gizani, lakini hili ametenda

Arudishwe Dar es Salaam
 
Wakuu,

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani.

Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari zaidi ya 1000 aina ya Land Rover na kwamba kama unaishi Arusha na huna Land Rover baki tu nyumbani.

Soma pia: Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe

"Kama huna jukumu lolote la muhimu la kutoka na gari basi kesho kama huna Land Rover baki tu nyumbani. Ningewaomba sana wananchi wa mkoa wa Arusha kama huna shughuli yoyote ile ya ulazima wa kutoka basi ningekuomba uvumilie siku ya kesho"

Mambo ni mengi muda ni mchache!
Hiyo mikokoteni imelisaidia nini Taifa?
 
Ni kweli kabisa. Land Rover gari za wapambanaji, Crown, alteza, harrier ni ya walamba lips wabaki home.
 
Makonda ni kiongozi mzuri sema anamapungufu ya kibadamu
 
Woyoooooo.
Haters mpoooooo.
Tumevunja Rekodi ya Mjerumani GARI 1078 zimetosha kuiweka Tanzania kwenye Ulimwengu wa Guiness.
Wale wenye vibaby wokka ka mimi ruksa sasa tuingie barabarani maana mlinuna hadi mkaanzisha uzii. Maaaaamae
 
Tumesimika
 
Attachments

  • IMG-20241012-WA0016.jpg
    IMG-20241012-WA0016.jpg
    65 KB · Views: 1
Tuvumilie maana tumechagua kuongozwa na wajinga
Embu tulitee cheti cha kidato cha nne/sita kwa wafuatao;
1: Mzee Freeman Mbowe
2:Godbless Lema
3: Sugu,
4: Wenje
Ukishapata majibu ndio utajua kwani Chadema inasinyaaa kila uchao
 
Ujinga tu.
Ni kweli ndio maana tumekubali kuwa na viongozi wetu wa juu wenye elimu ambayo ni uthibitisho kwa ni wenye uwezo mdogo (below average minds)
1: Mbowe,Lema,Sugu na Wenje
 
Back
Top Bottom