I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Mnamuonea tu siyo yeye peke yake Msoga Gang yote haimtakiYule jamaa ni CCM Lakini hamtaki kabisa Magufuli
Kwani Makonda anatumikia mabwana wangapi?Ndugu zangu Watanzania,
Mimi leo wala sina mengi ila nataka tu kuwaambia kuwa katika siku ya leo ambapo ni siku ya mapokezi ya ndege mpya iliyonunuliwa na serikali yetu ya CCM. Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa . Kwa hasira kali ametumia muda wa dakika mbili aliopewa kusalimia kuwashambulia wanasiasa aliowaita wanafiki,wajinga na uchwara wanaojipendekeza na kutaka kuonyesha kuwa mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia kuwa Hayati Dkt Magufuli hahusiki nayo.
Amesema huo ni unafiki mkubwa sana kwa sababu Rais Samia anatekeleza ilani ya uchaguzi ya 2020-2025.ambayo Rais Samia na Hayati Dkt Magufuli waliinadi kwa pamoja.hivyo anaendelea na kazi hiyo.ametoa marufuku na onyo kali kwa wanasiasa kuwa leo iwe mwisho wa tabia hiyo ya unafiki na ujinga .amesema kuwa Waziri Mh kasimu majaliwa ndiye yule yule waziri mkuu wao wote wawili yaani Hayati Dkt Magufuli pamoja na Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Tuvumiliane tu.Yule jamaa ni CCM Lakini hamtaki kabisa Magufuli
Kuna miradi kedekede ambayo Magufuli hahusiki.Tatizo linaanzia hapo Msoga kwenye ile familia ya "Fisi"
Wa Taifa.
Tamaa iko mbele kuliko utu wao.
Baba anakula 80% ya mshahara wa Rais aliyepo madarakani.
Mama Mbunge,anakula mshahara mnomo na marupurupu yoote.ikiwemo hii aliyojipendekezea hivi karibuni "Mafao ya wenza wa viongozi wastaafu".
Mtoto Mbunge na waziri mwandamizi akiishi kwa matarajio ya URITHI Mkubwa huko mbeleni.
Lakini hawatosheki na sasa wanaratibu kuua Legacy ya Magufuli kwa siku zoote!
Bado hujasema mama mchungaji 🐼Kwani Makonda anatumikia mabwana wangapi?
Kwani si Kuna miradi inayoitwa ya Magufuli na miradi ya awamu ya 6 au?
Mimi nimeleta kama ilivyo na kama alivyotamka .na leo sitaki kutia neno lolote lile nasoma tu maoni yenu wasomaji wangu.Kwani Makonda anatumikia mabwana wangapi?
Kwani si Kuna miradi inayoitwa ya Magufuli na miradi ya awamu ya 6 au?
Wote wanamchukia hayo ya vipato unayajua wewe.Msoga Wana ukwasi sasa yule boya Chinembe ana nini cha kumchukia binadamu mwenzake?[emoji209]
Matamshi au maandishi ama vyote [emoji23][emoji23][emoji23]Mi mmakonde bwashee matamshi yananisumbua [emoji23][emoji23]
Tunaposema huko CCM hakuko shwari muwe mnatuewa.Ndugu zangu Watanzania,
Mimi leo wala sina maneno mengi ila nataka tu kuwaambia kuwa katika siku ya leo ambapo ni siku ya mapokezi ya ndege mpya iliyonunuliwa na serikali yetu ya CCM. Mheshimiwa Paul Makonda Katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa .
Kwa hasira kali na kuonyesha moyo wake kujaa jazba na uchungu moyoni ametumia muda wa dakika mbili aliopewa kusalimia kuwashambulia wanasiasa aliowaita wanafiki,wajinga na wanasiasa uchwara wanaojipendekeza na kutaka kuonyesha kuwa mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia kuwa Hayati Dkt Magufuli hahusiki nayo.
Amesema huo ni unafiki mkubwa sana na ujinga kwa sababu Rais Samia anatekeleza ilani ya uchaguzi ya 2020-2025.ambayo Rais Samia na Hayati Dkt Magufuli waliinadi kwa pamoja.hivyo anachokifanya Rais Samia na Katika kuendelea na kazi hiyo ya utekelezaji wa ilani ya CCM.
Ametoa marufuku na onyo kali kwa wanasiasa kuwa leo iwe ndio mwisho wa tabia hiyo ya unafiki na ujinga huo wa kumuweka kando Hayati Dkt Magufuli katika mafanikio ya Rais Samia. amesema kuwa Waziri Mkuu Mh kasimu Majaliwa ndiye yule yule waziri mkuu wao wote wawili yaani Hayati Dkt Magufuli pamoja na Rais Samia.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.