Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

Kila mtu acheze namba yake, maana mwisho wa siku, kipaumbele ni maendeleo tu.
 
Wako Sawa kimatendo,

Wizi wa kura umeendelezwa vilivyo!!
 
Amiin
 
Hawawezi kufanana.magufuli aliinyoosha nchi lakini huyu wa sasa anaipindisha nchi.kila sekta inanuka uozo tu.
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Mwamba uko vizuri sana, sijui kama utakuwa na tatizo lolote linalosababishwa na stress maana sijui kama stress zina nafasi kwako.
 
Hakuna mwenye akili timamu anaweza akampa kura ya ndiyo SSH.

Urais wenyewe umekuja kama ngekewa .
 
Kama ni mpira huyu wa sasa kaachia goli wazi hakuna kipa, yaani wanaita gombania goli!.
 
Enzi ya Magufuli hatukuwahi kusikia mtu amekamatwa Zanzibar kisa amekula mchana
 
Kwan maguful alikuwa ni mungu mpaka Samia afate yeye tu ,kila rais aliyepita apa nchini ana mazur yake lakin au mnasema magufu kwakuwa ameshakufa
 
Msikiti wa Bakwata haukuombwa na Jiwe yaani !

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…