Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini

Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha

Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
 
Kama Bashite atarejeshwa na Le general Lengai ole Sabaya naye arudishwe ili utatu mtakatifu wa mnyeti Makonda Sabaya ukamilike. Maana nchi imekuwa nyoro nyoro sana.
 
Kwani Bashite ni wa kanda ya ziwa? Pamoja na kuwa anatokea Misungwi, lakini kisiasa yeye ni wa kanda ya pwani. To be straight, Dar es Salaam.
 
Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini

Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha

Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Kama nchi, tumefikia hatua mbaya sana iwapo hata watu wa aina ya huyu Bashite na wao wanaonekana kuwa ni viongozi wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi.

Nchi imeshuka viwango kwelikweli.
 
Nani kama mama amesahau yote hayo
Huyo mama sasa hivi amechanganyikiwa, hana hili wala lile, imebaki kutapatapa tu na kuendeshwa kama gari bovu.

Hana lolote la maana analoamua sasa hivi kwa utashi wake kama kiongozi.

Na kwa kweli nisimpe sifa bure, kwa sababu hiyo sifa ya uongozi hana. Hili linajulikana kitambo sasa.
 
Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini

Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha

Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Hao hawana influence Mama angejua watu hawampendi Dkt Magufuli kwa sababu ya watu bali ni kwa sababu ya uchapa kazi wake
 
Back
Top Bottom