fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
Hata hapa hamna loloye uliloandika zaidi ya porojo tu ,yoyote atakayesoma ataona tu unaropokoa kwa chuki binafsi kwa mtu, maana hujaeleza lolote zaidi ya malalamikoKama wewe ni 'chawa' wake (mnavyojitambulisha wenyewe siku hizi), ni lazima uchukulie hivyo ulivyoandika hapa, kwani huwezi kuona vinginevyo.
Inahitaji 'justification' gani kujua kuwa mama hana karama ya uongozi? Muda aliokaa madarakani hakutoshi kukuonyesha upungufu mkubwa alionao? Unahitaji 'justification' ya namna gani?
Kama itakuwa ni "msukumo wa chuki" ya kutopenda inakoelekzwa nchi hii chini ya uongozi wa huyu mama, sina lolote la kujutia kuhusu chuki hiyo.
Kama wewe ni 'chawa' wake (mnavyojitambulisha wenyewe siku hizi), ni lazima uchukulie hivyo ulivyoandika hapa, kwani huwezi kuona vinginevyo.