Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Kwani Bashite ni wa kanda ya ziwa? Pamoja na kuwa anatokea Misungwi, lakini kisiasa yeye ni wa kanda ya pwani. To be straight, Dar es Salaam.
Hujui Makonda kawekeza sana Mwanza na mda mwingi yupo Mwanza!
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.

Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa miongoni mwao.

Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.

Inasemekana uncle Job amekuwa akiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchi, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.

Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.

Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.

Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.

Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.

Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.

Sasa wanajuaje kama watafika 2026!
 
Atakayempa Makonda cheo atajidhalilisha
 
Wewe ndio brother mwenyewe au🤔
 
CCM HII HAINA SHIDA WACHA IWARUDISHE
 
Jobu ndugayi na Paulo Makondaye
 
Job alitangaza next session hatagombea tenaa cheo Chochote ww mleta uzi ni kanjanja
Hata mwenyekiti wa chama fulani kikuu cha upinzani alitangaza kuachia uenyekiti wa chama hicho mwanzoni mwa mwaka huu wa 2023, lkn cha kushangaza hadi leo tunaelekea 2024 bado hajaachia kiti.

Je na yeye ni kanjanja?
 
Back
Top Bottom