muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Huyo ni mke wa Makonda.Wewe ndio brother mwenyewe au🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mke wa Makonda.Wewe ndio brother mwenyewe au🤔
Kwa hiyo kinachomfaa ni urais tuMtu ambaye ameshakuwa spika kupewa uwaziri mbona having haiingii akilini.
Embu mkumbuke sitta basi alipotoka uspika alikuwa waziri miondombinu,pia Africa mashariki kwahiyo inawezekanaMtu ambaye ameshakuwa spika kupewa uwaziri mbona having haiingii akilini.
Huyo anayekung'ata sikio naye kang'atwaHabari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.
Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.
Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
Mr. Dudumizi katika Ku- DudumizaMng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Acha uongo,Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.
Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.
Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
Habari zenu wanaJF wenzangu,

mwambie bi.ushungi yeye ni rais wa mpito muda wake kikatiba ushakwisha akae pembeni,uwezo hana.Dhaifu mno.Habari zenu wanaJF wenzangu,

Sauli alishasafishwa Hana madhara.Wahisani na mikono michafu.....ya paulo itakuwaje mikono ina damu inayomlilia.....
Nami sioni mwaga mbele. Naona wengi Mungu atawafyagia kabla ya 2025Sasa wanajuaje kama watafika 2026!
Mbona alishasema hatogombea tena Ubunge ?!!!Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.
Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.
Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
Duh 🙄 !Nami sioni mwaga mbele. Naona wengi Mungu atawafyagia kabla ya 2025
Mjomba "Kazi" kabla ya 2020 alisema asingegombea ubunge 2020 na baada ya kujiuzulu Usemaji " kwa hiari yake" alishasema hatagombea 2025.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.
Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.
Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
Kweli kabisaAtakayempa Makonda cheo atajidhalilisha
Unapewa tu, hata Mzee Sitta (Rip) alipewa uwaziri baada ya kutoswa Uspika.Mtu ambaye ameshakuwa spika kupewa uwaziri mbona having haiingii akilini.
Pesa za demokrasia hatapewa huyo bibi ....yetuSauli alishasafishwa Hana madhara.
Ndiyo uone uzwazwa wa mleta mada.Mtu ambaye ameshakuwa spika kupewa uwaziri mbona having haiingii akilini.