Job aliteleza, akasahau ana maadui CHADEMA, wakaungaunga maneno yake spichi tatu tofauti is ionekane anamtukana mwenye nchi kwa kutumia lugha yao. Hili linasahemeka.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada, leo nimekuja na katetesi fulan kutoka kwa mtu anaehusika na pilika pilika huko ukubwani.
Mng'ata sikio huyo amenambia kwamba "juzi kati" wakati wa kufanya tathmini ya kuteuwa wale walioteuliwa, majina haya ya uncle Job (aliewahi kuwa mkuu wa mhimili namba 2 nchini) na brother Paul (aliewahi kuwa mkuu mkoa wa wenye pilika pilika nyingi na uchumi mkubwa nchini) yalikuwa mwao.
Lakini mmiliki wa nchi ambae ndio mwenye uamuzi wa kuchagua, kuteuwa na kutengua, aliyaweka pembeni majina hayo na kuomba yarudishwe tena mezani kwake mwaka 2026, wakati wa kuunda serikali yake ya kipindi cha pili cha uongozi wake.
Inasemekana uncle Job amekuwa wakiomba msahama kimya kimya kupitia kwa watu waliokaribu na mmiliki huyo wa nchini, ili angalau asiwe miongoni mwa watakaokatwa katika kinyang'anyiro cha kupitishwa na chama kugombea ubunge jimboni kwake.
Mnong'onezaji huyo amenambia kuwa mmiliki huyo wa nchi, na mkuu namba 1 wa chama ameshaonesha kumsamehe uncle Job, na anafikiria kumpa wizara ya mambo ya ndani hapo baadae, huku brother Paul ambae amekuwa kimya, na kujiweka mbali na skendo zozote za kumhujumu mkuu akiwa na chance kubwa ya kurudishiwa mkoa wake aliouzoea wa Dar es salaam, na aliepo Dar kupelekwa mkoa mungine.
Lets wait to see before hatujaanza kubisha, maana kuna msemo unaosema "lisemwalo lipo, na kama halipo basi linakuja".
Paulo mie nilimzeleu pale alipowaambia Wachagga ukweli wao, dunia haiko hivo. Kwake akili ndogo changanya na madaraka kulewa, angemtii Askofu (alimpa nafasi, twice!!) aombe radhi yangeisha na angepanda chati. Ni sikio la kufa.
Generally, he was/is out of his depth. I mean, utaendaje madhabahuni umevaa kapelo na bodyguards?