deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Unapiga ramri,,!!?
Mlale sasaMtoa taarifa wangu amethibitisha
Nani kama mama amesahau yote hayoAdhabu ya POMPEO, Haina athari mkuu
HayaMlale sasa
Ngoja tuone , kwa sasa ccm imechanganyikiwa , Mnyeti , KingaiBashite alikosea kuyatimba kwa pompeo. Huyo teuzi asahau na istoshe yule ni mjinga na mshamba at the same time. Akiteuliwa atawagawa hao ccm mana weng hawampend na ndo wamekamatia mpini saiv. Go to hell bashte
Kama Bashite atarejeshwa na Le general Lengai ole Sabaya naye arudishwe ili utatu mtakatifu wa mnyeti Makonda Sabaya ukamilike. Maana nchi imekuwa nyoro nyoro sana.Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
🤣🤣🤣🤣🤣Mlale sasa
yote tisa ila bashite yule ni pepo mchafu hafai kwa taifaNgoja tuone , kwa sasa ccm imechanganyikiwa , Mnyeti , Kingai
Kama nchi, tumefikia hatua mbaya sana iwapo hata watu wa aina ya huyu Bashite na wao wanaonekana kuwa ni viongozi wa kuwatumikia wananchi kwa ufanisi.Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Huyo mama sasa hivi amechanganyikiwa, hana hili wala lile, imebaki kutapatapa tu na kuendeshwa kama gari bovu.Nani kama mama amesahau yote hayo
Hao hawana influence Mama angejua watu hawampendi Dkt Magufuli kwa sababu ya watu bali ni kwa sababu ya uchapa kazi wakeMtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Kuna Generali pale Rwanda amepigwa pin na marekani ila kagame kampa cheo cha juu cha kijeshiAdhabu ya POMPEO, Haina athari mkuu