Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi?
Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani?
=====
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema yeye na timu yake watasikiliza kero zote za wananchi wa Arusha hata kama kesi hizo zipo mahakamani kwa kuwa, wapo wanasheria aliowaandaa kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi hizo.
“Hata kama una kesi mahakamani lakini huelewi mwenendo wa kesi unavyokwenda, inawezekana wewe ni masikini, mama mjane, mtoto au yatima nimekuandalia wanasheria bingwa tutakwenda nao mahakamani kutetea haki yako kwa hiyo usiogope,”amesema.
Makonda amesema hayo leo Mei 8, 2024 kwenye kliniki ya kusikiliza kero za wananchi mkoani Arusha.
PIA SOMA
- Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko