Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi?
Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani?
=====
Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema yeye na timu yake watasikiliza kero zote za wananchi wa Arusha hata kama kesi hizo zipo mahakamani kwa kuwa, wapo wanasheria aliowaandaa kwa ajili ya kwenda kusikiliza kesi hizo.
“Hata kama una kesi mahakamani lakini huelewi mwenendo wa kesi unavyokwenda, inawezekana wewe ni masikini, mama mjane, mtoto au yatima nimekuandalia wanasheria bingwa tutakwenda nao mahakamani kutetea haki yako kwa hiyo usiogope,”amesema.
Makonda amesema hayo leo Mei 8, 2024 kwenye kliniki ya kusikiliza kero za wananchi mkoani Arusha.

Huyu ni mtu wa ndani wa CCM anajua rushwa inavyonuka katika mihimili yote,mahakamani, anayeshitaki anahonga, mpaka jaji, Rostam alishawahi kutamka, mahakimu wanapokea maagizo kutoka juu, nchi yetu tunaijua, ni deal kila Kona.
Huwa, nafatilia siasa za, Kenya, kujua jinsi, nchi, za, Afrika, zilivyooza, Kama Kenya, pamoja na, Uhuru wa habari,mahakama, katiba Maya, lakini kuna ufisadi wa kutisha, kwenye mwanga kibao vile, lakini ufisadi upo,fikiria hapa bongo, ambapo bado tupo gizani, hakuna Uhuru wa, habari, hakuna chombo cha habari kinarusha mikutqno ya upinzani, ITV, wasafi, efm,hawawezi! Ni, wizi, kiasi, gani, unaendelea
Unajua, mnaomshambulia Makonda mnajikuta wajinga sometimes
Makonda anasema, anawasheria wa kuwasaidia watu ambao pengine kesi zao ni za kubumba, yeye yupo kutoa gharama zote za wanasheria hao kuwasaidia watu kesi zao
Kusikiliza, kuchambua au kujadili kesi zilizoko mahakamani sio kuingilia mahakama.
Mtu yeyote kusikiliza, kuchambua au kujadili kesi iliyoko mahakamani ni sehemu ya utawala bora, mahakama hazitakiwi kufanyia kazi zao gizani.