think tank01
JF-Expert Member
- Aug 11, 2022
- 270
- 400
Msichanganye jina, mara fulani jina hua haviandani na yaliyomo.
Tunakabwa na akina Timotheo, Paul, Yona na Yahana pia, wakati hapo awali walikua mitume.
Kuna Tume iliyo huru kimuundo na utendaji kazi na Tume huru jina ila utendaji ni kwa maagizo.