think tank01 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 270 Reaction score 400 Apr 12, 2024 #21 Msichanganye jina, mara fulani jina hua haviandani na yaliyomo. Tunakabwa na akina Timotheo, Paul, Yona na Yahana pia, wakati hapo awali walikua mitume. Kuna Tume iliyo huru kimuundo na utendaji kazi na Tume huru jina ila utendaji ni kwa maagizo.
Msichanganye jina, mara fulani jina hua haviandani na yaliyomo. Tunakabwa na akina Timotheo, Paul, Yona na Yahana pia, wakati hapo awali walikua mitume. Kuna Tume iliyo huru kimuundo na utendaji kazi na Tume huru jina ila utendaji ni kwa maagizo.