Kwamba Silaa amgomee Kiongozi wa chama chake. Chama hakitakubali hilo kutokea kwasababu aliomuweka Makonda kwenye nafasi hiyo ni Mwenyekiti wa Chama.Yule bwege anapenda sana madaraka ningekuwa ndiyo Silaa ningemgomea halafu nione atanifanya nini,bwege sana.
Makonda siyo kiongozi ni kama mesenja tu au kwa kiswahili fasaha anaitwa tarishi hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa kiongozi yeyote.Kwamba Silaa amgomee Kiongozi wa chama chake. Chama hakitakubali hilo kutokea kwasababu aliomuweka Makonda kwenye nafasi hiyo ni Mwenyekiti wa Chama.
Makonda hafanyi ziara binafsi, Bali zimepangwa na chama na zinagharamiwa na chama na zinamalengo maalumu ya kurudisha Imani ya wanachi kwa chama kuelekea uchaguzi. kwamba agome ionekane chama hakiwezi kuisimamia ilani yake na watendaji wake?
Sasa mtendaji wa serikali amgomee kiongozi wa chama atakua haitaki nafasi yake.
Real stupidAcheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
Katapila ndiyo nini labda tuanzie hapo?
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.
Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.
Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari
My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Hilo jamaa inanibidi niamini kuwa kweli hakuwa na vyetiAcheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
Bwege kaziniNi kazi juu ya kazi huku mwenezi huku katibu mkuu.ni lazima upinzani wakate pumziView attachment 2876660View attachment 2876661View attachment 2876662
Alafu wakati huohuo wana Kawe Bado tunasubiria boti zetu ili tuanzie uvuvi na treni yetuGwajima kapewa msaada wa katapila, kwani zile pesa za mfuko wa jimbo zinafanya nini siku hizi? au zinakarabati kanisa?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Uko sawa sana,lakini hata viongozi wanaifahamu mipaka yao na majukumu yao,Acheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
Anabunulia ekaristia kanisaniSasa milioni themanini Kila miezi mitatu itafanya nn Mzee?
Hawanaga akili ndiyo maana hata wao ukisimamisha hata Jiwe kugombea watalichagua ili mradi livalishwe mbogambogaCCM buana, huwa wanatengeneza matatizo ili waje kutatua matatizo washangiliwe...
Hapo watu wanamshangilia Makonda ambaye ni CCM na wanamponda Gwajima ambaye pia ni CCM...
Wachana na huyo muokota makopo wa LumumbaUna report kutoka Birmingham wewe kenge ?maana jina la Bashite tulijuwa kukoka kwa Gwajima ..alituambia jina kamili ni Bashite baada yakupata zero(0) au fomu four failure sijuwi unalijuwa hili mshabiki pumbavu??
Hana la kufanya zaidi ya majunguYule bwege anapenda sana madaraka ningekuwa ndiyo Silaa ningemgomea halafu nione atanifanya nini,bwege sana.
ZeroMakonda speed ni kali.
Hiyo siyo kazi ya hizo fedha. Hata kutengeneza barabara siyo kazi ya mbunge. Haya yote yanatokea kwa sababu ya kuwa na uongozi wa nchi mbovu ulioshindwa kwa kila kitu.Gwajima kapewa msaada wa katapila, kwani zile pesa za mfuko wa jimbo zinafanya nini siku hizi? au zinakarabati kanisa?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
R.I.P MutahabaNimekumbuka ile vita ya Gwajima na bwana Albert Malyangalya Bashite a.k.a Makonda.
MafisiFisiemu ni fisiemu TU
Tatizo elimu tunayopewaHii nchi ukiwa mgeni waweza dhania tawala wa sasa walikuwa wapinzani