Pre GE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

Pre GE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna Mchungaji aliahidi Treni, lakini mimi siwalaumu hawa Wanasiasa namlaumu huyo anayedanganywa every after four years au hili Taifa zima linatakiwa lipelekwe Milembe kupimwa akili?
 
Yule bwege anapenda sana madaraka ningekuwa ndiyo Silaa ningemgomea halafu nione atanifanya nini,bwege sana.
Kwamba Silaa amgomee Kiongozi wa chama chake. Chama hakitakubali hilo kutokea kwasababu aliomuweka Makonda kwenye nafasi hiyo ni Mwenyekiti wa Chama.
Makonda hafanyi ziara binafsi, Bali zimepangwa na chama na zinagharamiwa na chama na zinamalengo maalumu ya kurudisha Imani ya wanachi kwa chama kuelekea uchaguzi. kwamba agome ionekane chama hakiwezi kuisimamia ilani yake na watendaji wake?
Sasa mtendaji wa serikali amgomee kiongozi wa chama atakua haitaki nafasi yake.
 
Kwamba Silaa amgomee Kiongozi wa chama chake. Chama hakitakubali hilo kutokea kwasababu aliomuweka Makonda kwenye nafasi hiyo ni Mwenyekiti wa Chama.
Makonda hafanyi ziara binafsi, Bali zimepangwa na chama na zinagharamiwa na chama na zinamalengo maalumu ya kurudisha Imani ya wanachi kwa chama kuelekea uchaguzi. kwamba agome ionekane chama hakiwezi kuisimamia ilani yake na watendaji wake?
Sasa mtendaji wa serikali amgomee kiongozi wa chama atakua haitaki nafasi yake.
Makonda siyo kiongozi ni kama mesenja tu au kwa kiswahili fasaha anaitwa tarishi hana mamlaka ya kutoa maagizo kwa kiongozi yeyote.
 

Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Katapila ndiyo nini labda tuanzie hapo?
 
Acheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
Uko sawa sana,lakini hata viongozi wanaifahamu mipaka yao na majukumu yao,
Na hizi kauli zinatoka kwa mwenezi kweli na kama ni kweli napata mashaka na wanaopokea maagizo kama wako sawa
 
CCM buana, huwa wanatengeneza matatizo ili waje kutatua matatizo washangiliwe...

Hapo watu wanamshangilia Makonda ambaye ni CCM na wanamponda Gwajima ambaye pia ni CCM...
Hawanaga akili ndiyo maana hata wao ukisimamisha hata Jiwe kugombea watalichagua ili mradi livalishwe mbogamboga
 
Una report kutoka Birmingham wewe kenge ?maana jina la Bashite tulijuwa kukoka kwa Gwajima ..alituambia jina kamili ni Bashite baada yakupata zero(0) au fomu four failure sijuwi unalijuwa hili mshabiki pumbavu??
Wachana na huyo muokota makopo wa Lumumba
 
Gwajima kapewa msaada wa katapila, kwani zile pesa za mfuko wa jimbo zinafanya nini siku hizi? au zinakarabati kanisa?

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hiyo siyo kazi ya hizo fedha. Hata kutengeneza barabara siyo kazi ya mbunge. Haya yote yanatokea kwa sababu ya kuwa na uongozi wa nchi mbovu ulioshindwa kwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom