macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Huyo Silaa siyo mtu mwenye uwezo wa kiakili wa kufanya hili. Hawa owte ni wachumia tumbo na wako tayari hata kushikishwa chochote ili tu wabakie kwenye madaraka.Yule bwege anapenda sana madaraka ningekuwa ndiyo Silaa ningemgomea halafu nione atanifanya nini,bwege sana.
Kazi ya chama ni kusimamia serikaliAcheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
Nchi imejaa wananchi wenye uwezo finyu wa kupembua mambo na hawajui uongozi bora ni wa namna gani. Kwao, hawa wajinga wajinga wanaopita kujifanya kusikiliza kero na kutoa matamko ya zimamoto ndiyo viongozi.Tumeanza kuambiwa tutapeleka makatapila. Tunazindua na kukabidhi makatapila...hizi siasa bado zinafaa kwa wananchi?
Kwanini ikifika uchaguzi tunatumia mazingaombwe majukwaani? Tutafanikiwa?
Kiukweli huyu mwenezi Konda Boy ni very brilliant Boy!, hizo caterpillar 20 ni ahadi ya mbunge wetu Gwaji Boy aliyoitoa wakati wa kampeni ya uchaguzi wa 2020.
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.
mwambieni huyo nut wenu kuwa barabara hazijawahi kuwa tatizo la wana kawe bali matatizo makuu ya wana kawe ni kama yafuatayo......
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.
Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.
Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari
My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Haitoshi braza, Wacha wale tu braza, after all, hata kama zingerekebisha barabara..badae ingebomoka tena!Unamaanisha ni ndogo sana? kwa hiyo kama ndogo ndio mmeamua kuitafuna ili msubiri msaada wa Makonda?
Ok fine, kwani kukodisha katapila hata tano ili zikarekebishe maeneo yenye kasoro ndani ya jimbo, hizo pesa milioni themanini zisingetosha?
Anyway kuleni tu kwa urefu wa kamba zenu, mlisharuhusiwa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
CCM ni wazuri wa kutoa ahadi kuliko kutekelezaMakonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja
Wewe kama huelewi basi haikuhusu. Inayowahusu wote wameelewa.Acheni ujinga, anamuagiza wazuri wa Ardhi Kama nani? Stupid.
makonda ni kipenzi cha wanyonge katika kila sehemu anayopita anatatua kero za wanyonge kwa kweli Mungu amuweke
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.
Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.
Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari
My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Atazitoa wapi , kama nani ?

We akili yako inajua njia ya chooni tu.Ni kazi juu ya kazi huku mwenezi huku katibu mkuu.ni lazima upinzani wakate pumziView attachment 2876660View attachment 2876661View attachment 2876662
Usikute unaishi ChanikaMbunge wetu wa Kawe huyu. Huku Kawe hatutaki kusikia mtu mwingine zaidi ya Mh Makonda.
Mimi ni mkazi wa jimbo hili la Kawe. Leo ni siku ya 6 toka ZEROBRAIN atoe hii ahadi hewa. Kinachoendelea ni kwamba Bishop Gwajima amepokea makatapila hewa.