Pre GE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yule bwege anapenda sana madaraka ningekuwa ndiyo Silaa ningemgomea halafu nione atanifanya nini,bwege sana.
Huyo Silaa siyo mtu mwenye uwezo wa kiakili wa kufanya hili. Hawa owte ni wachumia tumbo na wako tayari hata kushikishwa chochote ili tu wabakie kwenye madaraka.
 
Tumeanza kuambiwa tutapeleka makatapila. Tunazindua na kukabidhi makatapila...hizi siasa bado zinafaa kwa wananchi?

Kwanini ikifika uchaguzi tunatumia mazingaombwe majukwaani? Tutafanikiwa?
Nchi imejaa wananchi wenye uwezo finyu wa kupembua mambo na hawajui uongozi bora ni wa namna gani. Kwao, hawa wajinga wajinga wanaopita kujifanya kusikiliza kero na kutoa matamko ya zimamoto ndiyo viongozi.
 
Katibu Mkuu Wa CCM Mbona Kavimba Yote Mashavu Na Kutetemeka Mwili, Watoto Wake Wakaja Ili Kumtaka Hali.......................
 
8j

Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.
Kiukweli huyu mwenezi Konda Boy ni very brilliant Boy!, hizo caterpillar 20 ni ahadi ya mbunge wetu Gwaji Boy aliyoitoa wakati wa kampeni ya uchaguzi wa 2020.

Jimbo la Kawe lina kata 10, Gwaji Boy aliahidi kutoa caterpillar 2 kila kata zichonge barabara zote za jimbo la Kawe. Sasa itakuwa caterpillar zimefika, aka ripoti CCM kuwa anataka kuzikabidhi, Konda Boy akamwambia subiria utakabidhi wakati wa ziara yangu.

Sasa movie inachezwa na sterling sasa ni Konda Boy ndie atatoa hizo caterpillar 20 wiki ijayo na kumkabidhi Gwaji Boy, ili ionekane ni Konda Boy katoa!.

Gwaji Boy pia aliwaahidi wavuvi 100 atawapeleka Marekani kujifunza uvuvi wa kisasa na kuwapatia boti za kisasa za uvuvi. Ahadi hii bado.

Na ile ahadi ya Treni ya umeme ambayo ameisha inunua nayo bado!
View: https://youtu.be/JTs_mLe9KLw?si=gCJCIK-nS9SGec_V

Ila pia kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu au adui wa kudumu, hebu msikie Gwaji Boy kwenye bandiko hili Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais
View: https://youtu.be/LYy7E2OQm6Q

Kazi iendelee

P
 
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
mwambieni huyo nut wenu kuwa barabara hazijawahi kuwa tatizo la wana kawe bali matatizo makuu ya wana kawe ni kama yafuatayo......

1. usalama
2. ukimwi
3. uchawi
4. fitna na unafiki
5. majungu
6. soko bovu na la kishamba
7. elimu duni

karibuni kwetu kisiwani pemba zanzibar yaliko makazi yangu ya kudumu na ya asili na majina yangu halisi ya rita, nida na uhamiaji baada ya kuzaliwa mnazi mmoja hospitali yakiwa ni ameir seif wete paje kidagaa
 
Unamaanisha ni ndogo sana? kwa hiyo kama ndogo ndio mmeamua kuitafuna ili msubiri msaada wa Makonda?

Ok fine, kwani kukodisha katapila hata tano ili zikarekebishe maeneo yenye kasoro ndani ya jimbo, hizo pesa milioni themanini zisingetosha?

Anyway kuleni tu kwa urefu wa kamba zenu, mlisharuhusiwa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Haitoshi braza, Wacha wale tu braza, after all, hata kama zingerekebisha barabara..badae ingebomoka tena!

Bora waile tu Mkuu!
 
Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja
CCM ni wazuri wa kutoa ahadi kuliko kutekeleza
 
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
makonda ni kipenzi cha wanyonge katika kila sehemu anayopita anatatua kero za wanyonge kwa kweli Mungu amuweke
 
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Atazitoa wapi , kama nani ?
 
20 January 2024

HALI NI TETE DAR - MVUA YAVUNJA DARAJA KUNDUCHI - WATU WARIPOTIWA KUSOMBWA na MAJI USIKU wa MANANE..

Hali tete jimbo la Kawe mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania kufuatia mvua . ... Ununio, Kunduchi, Bahari Beach hata Bagamoyo katika changamoto ya usafiri ....

View: https://m.youtube.com/watch?v=yqlsgsx44eA

Askofu Josephati Gwajima afika maeneo kuangalia athari ....
 
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?
Mimi ni mkazi wa jimbo hili la Kawe. Leo ni siku ya 6 toka ZEROBRAIN atoe hii ahadi hewa. Kinachoendelea ni kwamba Bishop Gwajima amepokea makatapila hewa.

Aliyeona haya makatapila atuambie yako wapi na sisi tukayaone
 
Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara.

Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa barabara, huku akiagiza katapila hizo zianze kazi mapema wiki inayokuja.

Sambamba na hilo, Makonda amempa maagizo Waziri wa Ardhi, Jerry Slaa kufika Bunju leo hii ili kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika eneo hilo.

Hii ni awamu ya pili ya ziara yake kitaifa ambapo anaangazia kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Pia Soma:
- DOKEZO - Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

My Take:
Barabara na Kituo cha Kawe zimekuwa zikilalamikiwa miaka yote lakini sioni jitihada zozote zilizofanywa na na Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima. Au ndiyo mambo ya Uchaguzi?

Gwajima hajanunua tena kwa pesa yake ?
 
Back
Top Bottom