Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Yote mema tu
 
Ccm ni kubwa kuliko hivyo vyombo vya dola ndio maana wamevipuuza tu na wakampa Makonda ulaji.
 
CCM na dola nani mkubwa??
Kuna tofauti kati ya CCM na dola?
 
Urais kwa vyeti hivyo vya watu? Taifa langu nakuliliaaa....
 
Huna ujualo
 


😂😂 mnampenda jamaa
 
Ninachompendea Makonda ni mpenda maendeleo ya watu na vitu.
Japo, anahitaji "backup" ili atekeleze vizuri majukumu yake.
Kwa kweli akiwa Rais, nchi itakwenda kwa kukimbia kama siyo kupaa kabisa katika suala la maendeleo..
Ee Mungu baba, mbariki Makonda ili huu utabiri wa kuwa Rais ifikapo 2030 uweze kutimia,
Amina.
 
Jamaa ulivyotabiri magu kuwa rais Sasa umerudi
Huyu jamaa mm namuogopa mbaya. Kwanza haandiki hovyo hovyo humu JF. Anaandika uzi (thread) mmoja halafu anapotea kwa miaka kadhaa

Mm nilidhani kafariki, kumbe yupo hai. Alochokiandika leo nakichukua na kukitunza.

Endapo kitatimia na Makonda akawa rais 2030 mm nitatembea uchi kutoka Dar mpk Kigoma .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…