Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Huenda jamaa kawasilisha succession plan ya bimkubwa. Huyu si alitabili chato boy na ikawa kweli.. basi ni kwamba yeye ndio wale wa jikoni ila kazi yake ni kutoa taarifa ya protocol zijazo.
 
Bora usisubiri.
Hapa Makonda anatumiwa kama toilet paper kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025.

Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda.
Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe
Katafute uhusiano wa familia ya kikwete na makonda.. Manji anajua kabisa makonda n rais ajae ndiyo maana hawekezi tena Tanzania
 
Huenda jamaa kawasilisha succession plan ya bimkubwa. Huyu si alitabili chato boy na ikawa kweli.. basi ni kwamba yeye ndio wale wa jikoni ila kazi yake ni kutoa taarifa ya protocol zijazo.
hili la makonda limesemwa sana kwa mda mrefu hata pascal mayala alisha lisema hli.. Atakuwa rais chini ya katiba mpya..

na mchakato wa kumwondolea zuio la kuingia marekani linaenda kuondolewa mda syo mrefu
 
Umerudi tena.
 
Duh! Maelezo yote haya ni kwa ajili ya Makonda tu? Je, siku ikitokea ukatakiwa umwelezee Mwalimu Julius K. Nyerere si utajaza JF nzima kwa maelezo yake?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…