Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Kama atakuwa hajafa wala kuvurunda kwa tamaa na ujinga wake. May he perish soon?
 
Tatizo Msoga gang labda wenyeviti wa hilo kundi itokee kazi yake mola haina makosa
 
Bora usisubiri.
Hapa Makonda anatumiwa kama toilet paper kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025.

Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda.
Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe
Na wewe acha uwongo,chama na serikali vyote vipo chini ya Msoga kwasasa,sasa utasemaje hawamtaki?
Samia na Makonda ni timu Msoga toka kitambo na ata U-DC Makonda aliteuliwa na JK.Issue ya kukengeuka kwenye U-RC ilikuwa ni kumfurahisha JPM ambaye naye alimgeuka JK.
Makonda alikuwa informer mzuri wa Msoga ndani serikali ya JPM na ata Marehemu Membe alipona mkono wa JPM kwa msaada wa Makonda kutoa taarifa za plots.
Siasa ni mchezo mchafu Mjomba!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Muda utaongea
 
Majanga yajayo juu ya Dunia, upepo na dhoruba Kali vitakapopita, pakatulia,

Atatafutwa Yusuph asaidie.
Ndipo mjoli wa Bwana atakapoinuliwa na kuijenga Dar upya iliyopigwa ikapigika,ndipo Kila kitu kitakapoanza upya hapa Tanzania kama baada ya gharika!

Nipo hapa namuonba mungu anipe uhai niione Tanzania mpya ya mjoli wa Bwana!!
 
Yes alivitumia kama manamba, hapa ndio watajua hawajui. Army the military can't be this stupidity.

Yeye kuwa DC alidharau sana jeshi,alilitumia vby, akawa RC akalitumia hovyo. Viongoz kama bashite huweza kusanabisha mapinduzi
 
Waliotoshwa enzi za Mama sasa mmeanz akurudi


Magamba mawili karibu tena. Pole kwa likizo isiyo na malipo
 
Hii mpya
 
Polepole ndiyo anatakiwa kupewa kugombea 2025 siyo muhuni saa mia moja mbovu

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…