Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Atakufa mapema tena kwa kujinyinga kama alivyofanya magu. Urais siyo jaza ni utulivu wa Hali ya juu sana kama samia
 
next magu?......kwamba eventually naye ataondoka by 2037?
 
Kwasababu huu Uzi umeandikwa na Mkuu MAGAMBA MATATU sio wa Kuupuuza.

Nafikiri hii Nchi kila mtu anaweza kuwa Rais wa Nchi hata kama atakuwa ni darasa la 7, mgonjwa ama hata Mzee wa Miaka 90 au zaidi muhimu awe ameridhiwa na Mfumo wa Chama na Serikali.

Tatizo la Nchi haliwezi kuwa Makonda ama mwingine yeyote, shida yetu ni Mfumo uliopo kuruhusu ujinga huu.

Yaani mtu anakuwa Rais lakini anakuwa na Mamlaka ya kufanya vyovyote vile ikiwemo Kuua, kujifanya Mungu na Kuiba Rasilimali atakavyo na mifumo ipo pale inamchekea.

Siku tukiweza kubadili mfumo wetu wa Utawala basi ndiyo siku Nchi hii itapiga hatua za Kimaendeleo.
 
KWANI KADINALI PENGO ANASEMAJE?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Yes makonda for president in 2030[emoji736][emoji736][emoji736]
 
na atakua the Next Magu
Uzi wako umeuharibu mwishoni, wtf is "the next Magu". Kila mtu ana staili yake ya uongozi kuforce kila mtu awe kichaa na kukurupuka kama huyo mzoga wenu ni kujitafutia matatizo tu. Mwacheni kila mtu afanye kwa staili yake.
 
Hamna ujinga kama huo utafanywa. Hata huo U Katibu Mwenezi hawezi kufika nao 2025 October. Lazima apigwe chini. Na nakuahidi MAGAMBA MATATU wewe ndiyo utarudi kuisoma hii post # 97
 
Tabors mjini,nzega,igunga
Hizo sehemu zote kuna vichaa balaa hata Kaliua. Kule Tabora mtu akikuona unakula vizuri tu au hata ukiiba kiwembe wanakuroga na kuwa kichaa na ndiyo maana hakuna maendeleo kwa sababu nguvu kazi yote inaokota makopo na kuongea na mapipa jalalani. We angalia wana Tabora wote waliopo hapa Dar, wako kama vichaa vile au unaweza kusema ni vichaa watarajiwa kutokana na vitendo vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…