Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

Kwa CCM mtu muwazi,mkweli na hataki kona kona huona mropokaji. Haya hayo maridhiano na Mbowe yalizaa nini?
Hivi viongozi wa Chadema wanaridhiana viongozi au hao viongozi wanawakilisha kundi la wanachama na wananchi? Sasa hao wanachama wakipewa ukweli wa mambo na sababu za kukwama inakuwa uropokaji
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

Brunatnica
Tangu lini Mbowe amekuwa mwakilishi wa vyama vya upinzani? Mbowe huyu ambae mpaka Leo hajatoa kauli yoyote kuhusiana na yaliotokea October 29.2025 ?
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

Brunatnica
Mbowe ni kipenzi cha Ccm japo walimpa kesi ya Ugaidi.

Tindo zitto junior Fundi Mchundo
 
Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu,

Brunatnica
Lissu domokaya,kwa tunaowajua watu wa singida hatushangai,lissu elimu haikumsaidia kuacha tabia za ovyo za kinyaturu na kinyiramba,hakuelimika bali kapata tu 'ufundi' wa Sheria na kiingereza
 
Back
Top Bottom